Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,624
Zitto, welcome back to JF, nakumbuka nilikusisitiza, wapiganaji shupavu, hawakimbii hoja kwa kukaa kimya, bali hujibu hoja kwa hoja, unless zikiwa ni za kipuuzi, zinapuuzwa.Waberoya, napenda kushiriki kwenye mjadala huu ambao umeanzisha. Nafanya hivi ilhali sikupenda kwani niliamua nisijibu lolote. Kuna masuala umesema ni ya kweli na mengine ni uzushi ambao umesemwa, ukazunguka na kisha ukauamini. Mengine ni uwongo wa wazi. Kwa mfano nikikuuliza ni wapi mtambo unaosema wa kokoto ninaoumiliki ulipo utajibuje? Nimemwomba mod aniruhusu na interactive session hapa jf na tuulizane, tujibizane na tuzungumze
Pia vile uliadimika kipindi kirefu, kuwa tayari kupokea makombora yoyote mazito toka kwa wana JF u prove them wewe sio Zitto jina tuu, pia ni Zitto kwenye kujibu hoja na usitukimbie tena, unless you are genuinely busy!.