Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

Status
Not open for further replies.
Kwani huyu Salim muislam? Mbona tulisikia enzi zake alikuwa atheist?
 
katika chadema mtu ambaye anaongea kabla ya kufikiri na nafikiri pia ni mpenda maendelea ni ZITO peke yake. kuna baadhi ya mambo sio ya kupinga kama serikali imefanya vizuri.
 
Ili chama kikue kinahitaji changamoto nyingi sana,watu wengi watakipinga kwa nguvu nyingi sana UKIZINGATIA KUWA CHAMA KILICHO MADARAKANI NDICHO CHENYE NAFASI KUBWA YA VYOMBO VYA HABARI (MEDIA COVERAGE) lakini nguvu ya umma ndio mwamuzi wa yote.

Kama Zitto anadhani kafanya vyema kwenda kinyume na chama basi yote yataonekana baadae na uhakika chama hakitakufa na kitaendelea kujulikana zaidi vijijini ambako ndio kwanza wananchi wanaanza kufahamu nini maana ya CHADEMA.
 
Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE' na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi.

Webs umetulia sana kwenye kuandika hii habari! Hujamung'unya maneno kabisa.

Big up
 
its about time before the realy enemy is unmasked..!!!!but sijaona uhusiona wa Zito na Uislam, mkuu you must be careful na udini!!!!!!!

Kweli kabisa mkuu, sababu its hard kuconfirm kwamba jamaa ni mdini naomba ufute hiyo issue ya udini ili watu wasije potosha thread na kufanya tusiongelee the main issue
 
Ninatokea jimbo la kigoma Kaskazini, na Zitto ni Mbunge wangu, bila yeye kujua nimempigia debe ukizingatia yeye yuko Chadema na uwezo wake wa kufanya kazi na kutetea hoja, hata hivyo huwa simwamini kabisa mbunge huyu hasa kutokana na kauli zake tata, kwa kweli si mtu wa kujivunia kabisa kwa kuwa haeleweki eleweki.

Huyu mtu chadema wasimfukuze, waendelee naye tu ... labda aamue kujitoa mwenyewe


isije kuwa ni mambo ya 'maji ni masafi' kwa muonekano wa macho, wakati yako contaminated na feacal coliform bacteria kwa mwonekano wa kimaabara.
 
well, well, well, ukitaka kujibu swali kwamba ilyas omar ni mdini au la, jaribu kuingia kwenye facebook yake. usiingie huko kwenye facebook yake na darubini wala tochi!!
 
Nimeipenda hii.
1.Ila kwani urafiki wa jana nilazima kua waleo?
2. je upinzani niuadui?
3. Tupe chanzo cha habari, we need habari zilizofanyiwa utafiti
 
Wakuu kuna dalili Zitto anatafuta kufukuzwa CHADEMA ili atumike kuisambaratisha nahisi [sina uhakika] CCM baada ya kukaliwa kooni wanatafuta mbinu kama waliyoitumia NCCR Mageuzi miaka ya 90s.CCM wanajua mwaka 2015 hali itakuwa mbaya kwa mgombea Urais,wabunge na madiwani wasingependa chama chao kiondolewe madarakani kama KANU ya Kenya.
 
Nimeipenda hii.
1.Ila kwani urafiki wa jana nilazima kua waleo?
2. je upinzani niuadui?
3. Tupe chanzo cha habari, we need habari zilizofanyiwa utafiti

Upinzani ni uadui in so far as kwamba mpinzani wako ni fisadi.... and that means kwamba wewe ukishika madaraka ndo mwisho wa huyo rafiki yako... Je utakuwa tayari kumuweka rafiki yako ndani
 
Acheni kueneza maneno ya fitna na chuki.

Mtu anaweza kutofautiana na wenzake wa chama kimoja! Mbona wakati wa kumu impeach Clinton kuna wajumbe wa Republicans wali vote tofauti?

Mfukuzeni Zitto kwa ajili ya dini yake halfu mjiangalie kama chama chenu kipo free from UDINI
 
Nimeipenda hii.
1.Ila kwani urafiki wa jana nilazima kua waleo?
2. je upinzani niuadui?
3. Tupe chanzo cha habari, we need habari zilizofanyiwa utafiti

Sasa wewe unataka chanzo gani cha habari wakati jamaa anakuambia walikuwa naye chuo!!! yeye mwandishi ndio mwenye data na ndio chanzo cha habari, au unataka chanzo kama magazeti au taarifa ya habari ya Tv na redio? Think b4 u write, pls.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom