hiki ndicho kilichonikera kwa hawa wapumbavu wa bongo fleva. mi nahisi wivu pia unachangiaSasa hapa ndio kuna utata! Sugu asiwasahau wasanii wakati wao hakuna aliyempa support kwenye kampeni except wasanii wanne tu! C'mon man wasanii wa Tz ni hovyo sana walitakiwa wampe full support mwenzao wao wakawa wanamponda...Sasa awatetee kivipi??
Kibonde mbona bwabwa lile !!!!!!!!!!!!!!!
Sugu ni mtu ambaye anakubarika saana na watu kwanza kwa sababu huyu bwana anaweza kusema bila kuogopa. Tunataka watu kama yeye, na sasa sugu usimwonee mtu huruma si uliona walichokufanyia? let them pay for this, fanya kazi baba. Kibonde hana reputations utatangaza mpaka ukome harafu huna tija kwenye utangazaji. Sugu nilisahau msikilizishe Kibonde Anti virus latest volume.