Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

Ma commentators wengine nao hawakatazwa kukiunga mkono CHADEMA au chama kingine chochote kile cha kisiasa.
Duh design unajuana na huyu kibonde au ni wewe.Ndio ila kama yeye mtangazaji anaona watu wanaona anachukulia side moja na hawajaklataa kuwa yeye asiwe ccm bali anaongelea maongezi yake yanakera. Sasa kama mtu unataka uwe na wasikilizaji basi kama ana akili anajua cha kufanya mwenyewe kama kubadilika na kuwa na wasikilizaji wengine au kufukuzwa kazi na clouds kwa kuwafukuzia wasikilizaji.Haya
 
Limbukeni mkubwa...angalieni majina mnayowapa watoto wenu KIBONDE,unadhani sampo gani ya mtu itatokea..

Kibondwe ovyo tu, ndo maana tumbo lake linakua zaidi ya mwili. Kazi kuropoka tu. anajua kwamba hajui ndo maana anajifanya kujua kila kitu huyu popobawa. alimtukana sana mshikaji wangu redioni. utadhania redio ni ya baba yake, asome comment yangu ajue kwamba yeye ni ***** li popobawa
 
Ngabu kiukwel unatetea ujinga.

Unajua kabisa ni jinsi gani raia wanavopata shida lakin kibonde hawatetei hao,wala wewe huwatetei hao,unamuunga mkono mtu kutetea serikali ya kinyonyaji katika redio.

Kibonde anatugawa watanzania,na asipoangalia mwisho wake hautakua mzuri,au wenye uchungu na nchi hii watamtanguliza mbele ya haki.
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..

Kibonde kulikoni?

Kibonde na Marini Hassan wa TBC hawatofautiani. Hawa watu wanajua fika kuwa wamefika hapo walipo kibahatibahati na pindi watakapoondoka basi huo ndiyo mwisho wao.
Wanachokifanya ni kutumia opportunity ya kuwa karibu na microphone kufanya mchezo wa "kisa cha kijakazi na mfalme, kazi yake kubwa ni kutetea kuwa mfalme haendi choo na yeye anakuwa wa kwanza kukimbia na kufukia pindi ikitokea mfalme kafuata nature, bahshishi ni kuendelea kuishi kwenye kasri kwa makombo yanayoachwa na mfalme - kwani maisha yake yapo juu ya mfalme"

Cha kufanya ni kuwapuuza basi, Mkinga anawaita wachumia tumbo, pangu pakavu tia mchuzi.
 
Kibonde ni mchumia TUMBO!
Kibonde anaona matatizo ya watanzania, lakini mjinga anajifanya anatokea sehemu ambapo hapitii barabarani. sijui anapitia mbinguni ndio afike clouds huko wanakojaza vitoto vya kike vya THT mimba? Huyu mtu mnafiki kweli. Hakuna cha maana anachoongea chooni kwake clouds zaidi ya kujamba uvundo. Raia wanakufa na njaa, mahospitalini, migomo mashuleni yeye yale yale kutetea... hawa ndo watu wakifa inabidi watupwe waliwe na mbwa, mola nisamehe. Nachukia watu wanaotumia nafasi zao vibaya! Kibonde unachukiwa kweli kama familia ya makamba

Kibonde ni **** najiona kama vile katoka nchi ya kusadikika ambako anazungukwa na watumwa. Anadhania kwa kujikomba kwa watu atafika mbinguni? Anaishi magomeni mapipa jitu linajifanya kutokea Masaki. Kwani nani hamjui huyu mnafiki?. **** anatamani akienda chooni wanawake watatu wamfuate kumpangusa makalio, ndo maana tumbo lake linazidi kupata mimba wakati mwili unasinyaa, sharobaro la kike, hana mpango. abadilishe tabia yake ya kutukana watu ovyo redioni

Akishika microphone vitoto vya THT vya kike anavyobaka vinamuita mheshiwa... nyambaf.. huyu kilaza. Aende shule akajenge hoja badala ya kukaa kubwabwaja ovyo ccm imsikiye na hapo anawaponda wanaopingana na CCM wakati mama yake mzazi hana hata chakula. Leo litokwe jasho linapenda sana kuwaonea watu. Wajinga ndo walivyo, vinajifanya kujua kumbe hakuna lolote.... nikimsikiaga nazima redio ndio ujue alivyo mjinga

Kibonde, duniani tunapita tu. Magari, majumba ya kifahari, elimu, vyeo, hela na vyakula vizuri tunakufa tunaviacha. ubinadamu haufi. jijengee heshima. Wajali watanzania wenzio hacha tabia yako mbaya, watumikie watanzania wenzako wanaoumia mitaani. tumia nafasi uliyo nayo kuwatetea. Ukifuata nyayo za RUGE basi utajuta. ila nina uhakika siku ya kufa utaomba msamaha...!
 
Kweli kidondde ana haki ya kuwa na mwana chama wa chama chochote,,lakini his political affiliation lazima iwekwe kando anapokuwa kazini hasa katika chombo cha habari ambacho hakimilikiwi na chama cha siasa, nako kwa kulazimisha.mbali ya haya kuwa maadilli ya uandishi wa habari (media ethics) pia taratibu katika utumishi zinakataza. mwandishi wa habari anapaswa kuwa objective, ukiona mwandishi wa habari anaona mazuri katika chama kimoja au kwa mwanasiasa mmoja na mbaya kwa chama kingine na mwanasiasa mwingine. hujue kama si kanjanja basi ni anapatatizo ya kimaadili.

Binafsi nilikuwa nikisikiliza kipindi hicho, lakini kutokana na Kibonde kutokuwa objective kipindi hicho kwangu kimekuwa gazeti la Uhuru na Mzalendo. As far as i know the guy, he never undergone any intensive media training. in other words he has never seene the inside of the svhoool of journalism. kama mwqandishi ninayejua kazi na nilisomea kwa miaka mitatu the guy is not journalist/broadcaster.
 
Why Tanzanians we love discussing peoples and not issues?aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! and we call ourselves great thinkers? great thinker my foot
 
Why Tanzanians we love discussing peoples and not issues?aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! and we call ourselves great thinkers? great thinker my foot
kweli ila KIBONDE kazidi.
Kwanza ni form four failure kwa hiyo asijifanye mchambuzi wa siasa
pili hata ikija issues ya URANIUM utamsikia akitoa analysis ya kisayansi.
Utamsikia akizungumzia Hepatisis, neurology sasa yeye anajua kila kitu ?
he better get dead kuliko kulinga watu matango akijifanya Academician
 
mwacheni yule hamna asiyejua matatizo yake hlf ni swahiba sn wa jk, kuhusu arv za kibonde japokuwa si vizuri kuongelea personel ya mtu lkn ukweli ni kwamba jamaa ni mwathirika
huyo jamaa namchukia sana.ila sidhani kumnyanyapaa kihivi ni vzr,weken kushoto mambo ya afya yake.wewe ulieandika hapa hatuna uhakika kama hujatoka kumeza arv ndo ukaanza kuchangia hii mada pambav acha kumnyooshea mwnzio vidole no matter what is non of your business lool.
 
Hapa mnampondea,,lakini anapokua MC wenu kwenye hafla za kitaifa na domo lake lenye dental formula za kifaru mnamchekea.
 
Kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa Tanzania mpaka ujue Kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu Kingereza.Lema, Komba, Sugu, Azzan, Selasini, Mbowe, Lukuvi

kingereza skendo rais mwenyewe mpaka aandikiwe, pia yupo juma ngamia,vichy kamata............
 
huwa ana google then anajifanya anaweza kuelezea then anajichanganya,kayanda na wasiwasi inabidi waipotezee kiaina,jamaa anajifanya kila kitu ajua yeye..
kweli ila KIBONDE kazidi.
Kwanza ni form four failure kwa hiyo asijifanye mchambuzi wa siasa
pili hata ikija issues ya URANIUM utamsikia akitoa analysis ya kisayansi.
Utamsikia akizungumzia Hepatisis, neurology sasa yeye anajua kila kitu ?
he better get dead kuliko kulinga watu matango akijifanya Academician
 
Kibonde ana haki zote za kukipenda chama chochote kile cha kisiasa. Yeye ni commentator hivyo anaruhusiwa kutoa maoni yake waziwazi. Tofautisheni kati ya news anchors, journalists, na commentators.

Tasnia ya habari ni pana. Haianzii na kuishia kwenye kusoma na kuripoti taarifa za habari tu. Na ndiyo maana kwenye magazeti kuna section za op-eds. Ila naelewa baadhi ya hizi fani kwa Afrika bado ni changa mno kwa watu kuwaelewa ma commentators kama Kibonde.

Je tungekuwa na akina Rush Limbaugh au Keith Olberman si baadhi yenu mngekufa kwa mashinikizo kabisa...

Tatizo la Kibonde si kuwa Commententor au kitu gani kingine. Tatzizo lake ni kuwa hajui alifanyalo. Akiona watu wamepinga jambo lianaloadhirisha serilali iliyopo madarakani anatumia kejeli na dhihaka. Mfano wanachuo walipokuwa wakidai waongezewe akasema wanafunzi wa UDSM si wasomimkitu hawana akili kwani hele inatosha na kuwaongezea ni gharama mno kwa wananchi. Wakati huo wasomi walidai serikali haina vipaumbele vya kueleweka, ikaja mada ya posho kuwa zifanyiwe shughuli za maendeleo kibonde akaiponda hoja hiyo vibaya mno. Waziri mkuu juzi amesapoti kuwa posho zikatwe na gharama za matumizi ya magari zipunguzwe ili Tanzania inunue mtambo wa umeme amesapoti na pia eti anajiuliza hizo idara zinazotoa milioni 50 zinapata wapi pesa hizo. Anajifanya hayawani, hakumbuki kuwa kuna wabunge walihoji na hata kutaka kutoa shilingi juu ya uwepo wa pesa nyingi zinazozagaa bila kuwa na maelezo ya kutosha wakati zile za maendeleo ni kidogo. Labda kwa kuwa mtu akitumia sana dawa pia huharibu uwezo wa kufikiri hilo ndio tatizo lake. Vinginevy jamaa hana dignity mpaka anatia kinyaa
 
Kibonde ana haki zote za kukipenda chama chochote kile cha kisiasa. Yeye ni commentator hivyo anaruhusiwa kutoa maoni yake waziwazi. Tofautisheni kati ya news anchors, journalists, na commentators.

Tasnia ya habari ni pana. Haianzii na kuishia kwenye kusoma na kuripoti taarifa za habari tu. Na ndiyo maana kwenye magazeti kuna section za op-eds. Ila naelewa baadhi ya hizi fani kwa Afrika bado ni changa mno kwa watu kuwaelewa ma commentators kama Kibonde.

Je tungekuwa na akina Rush Limbaugh au Keith Olberman si baadhi yenu mngekufa kwa mashinikizo kabisa...

maoni yake waziwazi ndio kila siku aishabikie CCM wazi wazi kwenye radio, CLOUDS ni radio ya WATU (wote) na si ya wana ccm(pekee).
 
Why Tanzanians we love discussing peoples and not issues?aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! and we call ourselves great thinkers? great thinker my foot
Kama kweli ni aibu, si wanalipwa mamillioni na hawalipi kodi hawa m@%$a aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 mnatuharibia siku *****
Hata mimi nashangaa watanzania
 
Hata mimi nashangaa watanzania

sasa wewe unayewashangaa watanzania endelea ku discus ishu achana na kudiscus wakina Obama, Ruppert Muddock na wala usiwafuatilie watu kama akina mandela, Che Guevara wewe tafuta tu issues kama vile great depression lakini usiwazungumzie kabisa watu kwa kuwa wewe una great mind
 
Back
Top Bottom