Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

kuna baadhi wamemtetea Kibonde nafikiri nao wana akili kama za kwake za kichochezi , nimemsikia kwa masikio yangu akimponda mheshimiwa sugu na kuapa kuwa hawezi kupata Ubunge hana sifa (wakati wa kampen ) mtangazaji kama huyu hafai!!!!!!!!. leo hii Sugu ni mbunge. huyu jamaa hatoi habari kama ipasavyo na imepelekea Radio claus kwa ujumla kuegemea upande wa ccm. wanaofutilia habari watakubaliana na mimi kuwa utafiti kwa vyombo vya habari ulionyesha claus ni chombo huru pekee kilicho pigia kampen ccm! nafikiri pale claus ana kacheo mpaka kashawishi kampuni nzima . USHAAURI KWA CLAUS Badiliken kama nchi inavyo badilika. hata nyie wana magamba badiliken !
 
Unapokuwa huna uwezo wa kujikwamua kifikra na kiutendaji baadaye utakuwa kibaraka kama Kibonde. Ila ndugu yangu ritz; Sugu, Mbowe, Lema, Selasini kiingereza wanajua vizuri, Komba hajui kabisa, Azzan sina uhakika, Lukuvi hawezi na wala hataki kujifunza bahati mbaya hata anakotoka ISIMANI kimaendeleo wako nyuma sana tatizo ni yeye hana ubunifu.

Acha kufanya conclusion kwamba SUGU anajua kingereza kwa sababu alikaa UK, wangapi wanakaa huko wanarud huku hawajui kingereza hasa wale wanaokwenda kuseek Asylum kama SUGU, yeye alikua mkimbizi tu kule, nenda Kigoma kule kwenye makambi ya wakimbizi uone kama wanajua kiswahili kisa wapo Tanzania.
Mbowe, Lema, Selasini, Komba wote wako shallow kwenye kingereza, I am not praising kingereza hapa lakini najibu hizo pumba ulizoandika
 
Acha ushamba wewe, we ni mzima? uathirika wa Kibonde unakuhusu nini? Mbona hata ndugu zako wapo waathirika hatuwasemi? mseme kibonde kama kibonde uathirika wake unakuhusu nini? we mwenyewe malaya unauhakika gani na kesho kama hutaathirika? hizo sio kauri za kuzitoa kwa watu wenye akili zao nyambafu
Mwacheni yule hamna asiyejua matatizo yake hlf ni swahiba sn wa JK, kuhusu ARV za Kibonde japokuwa si vizuri kuongelea personel ya mtu lkn ukweli ni kwamba jamaa ni mwathirika
 
Bado sijaona hoja zaidi ya viroja!! Kibonde uko juu bwana kaka la sivyo usingekuwa unaanzishiwa nyuzi hapa JF kila kukicha.
 
Mbona Idd Azani yuko London sa izi, kwenye dili la BAE System?

Inamaana anatumia mikono kuzungumza?
 
Acha kufanya conclusion kwamba SUGU anajua kingereza kwa sababu alikaa UK, wangapi wanakaa huko wanarud huku hawajui kingereza hasa wale wanaokwenda kuseek Asylum kama SUGU, yeye alikua mkimbizi tu kule, nenda Kigoma kule kwenye makambi ya wakimbizi uone kama wanajua kiswahili kisa wapo Tanzania.Mbowe, Lema, Selasini, Komba wote wako shallow kwenye kingereza, I am not praising kingereza hapa lakini najibu hizo pumba ulizoandika
Bollo Young, unajua watu wanaleta mapenzi hivi taingia uijue CDM na Mbowe lini umeishasikia au kuona kafanya interview kwa lugha ya kiingereza!
 
Mie clouds kipindi chake nazima redio kinanikera .uhuru wa mawasiliano. Kwetu nkasi sumbawanga hatumpati.
 
Kwahiyo kutukana na kukejeli ni miiko ya uandishi wa habari? kutokuangalia matatizo ya msingi ya jamii na kujificha kwenye kuwatetea mafisadi ni kufuata miiko ya uanahabari.
Unaweza kuwa mwana taaluma lakini kwa kumtetea kibonde siwekukuunga mkono.
Sina pingamizi kwa yeye kuwa CCM lakini linapokuja swala la habari kwa jamii inatakiwa kujikita kwenye kuielimisha na kuihabarisha jamii. Mfano kuna magazeti hutokaa kuyasikia kwqenye kipindi cha jahazi na kuna habari hutokaaa kuzxisikia kwenye kipindi cha jahazi na vilevile kuna habari hupotoshwa kwa makusudi na Kibonde ieleweke vingine.

Niliwahi kuwa baa na Kibonde mida ya saaa nane akinywa bia na ilipofika saa kumi kasoro aliawaaga wenzake kwa kusenma " badaye ngoja nikaropoke redioni" u can see how is he not serous.
 
Mzee Lunyungu, afanyacho Kibonde wala si cha ajabu na havunji miiko yoyote ile ya fani yake. Yeye ni talk show host na talk show hosts wanaruhusiwa kuwa na opinion.

Hivi umewahi kumuona au kumsikia Kibonde akisoma taarifa ya habari au akitoa ripoti kwenye kipindi cha taarifa ya habari? Kama umewahi kumuona, je alichomekea maoni yake kuhusiana na kile alichokuwa akikiripoti?

Nijuavyo mimi, talk shows nyingi hujadili matukio ya siku (yaliyomo kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari) yaliyojiri na kuripotiwa na vyombo vya habari.

Na kwa asili ya talk show yake (interactive or semi-interactive) inanoga zaidi pale ambapo host au ma-hosts wanapokuwa na opinions zao. Kwa hiyo Kibonde ana haki zote za kuwa pro-CCM au pro chama chochote kile akipendacho.

Tatizo humu ndani wamejaa wanazi wa CHADEMA/ upinzani. Lakini kama Kibonde angekuwa anti-CCM ungeona sifa ambazo angekuwa anamiminiwa. But I understand it comes with the territory. Ila ya kusema Kibonde sijui anakiuka taratibu au miiko ya fani ni ufinyu wa ufahamu kuhusu tasnia ya habari kwa ujumla.
Kwahiyo kutukana na kukejeli ni miiko ya uandishi wa habari? kutokuangalia matatizo ya msingi ya jamii na kujificha kwenye kuwatetea mafisadi ni kufuata miiko ya uanahabari.
Unaweza kuwa mwana taaluma lakini kwa kumtetea kibonde siwekukuunga mkono.
Sina pingamizi kwa yeye kuwa CCM lakini linapokuja swala la habari kwa jamii inatakiwa kujikita kwenye kuielimisha na kuihabarisha jamii. Mfano kuna magazeti hutokaa kuyasikia kwqenye kipindi cha jahazi na kuna habari hutokaaa kuzxisikia kwenye kipindi cha jahazi na vilevile kuna habari hupotoshwa kwa makusudi na Kibonde ieleweke vingine.

Niliwahi kuwa baa na Kibonde mida ya saaa nane akinywa bia na ilipofika saa kumi kasoro aliawaaga wenzake kwa kusenma " badaye ngoja nikaropoke redioni" u can see how is he not serous.
 
Kwahiyo kutukana na kukejeli ni miiko ya uandishi wa habari?

Lini katukana? Na katukana tusi gani? Unajua maana ya commentator wewe?

kutokuangalia matatizo ya msingi ya jamii na kujificha kwenye kuwatetea mafisadi ni kufuata miiko ya uanahabari.

Kile ni kituo binafsi. Wana hiari ya kuegemea mrengo wowote ule wa kisiasa ili mradi tu wanatoa 'equal time' pale wanapompa 'air time' mwanasiasa.

Unaweza kuwa mwana taaluma lakini kwa kumtetea kibonde siwekukuunga mkono.

Bado sana hii fani kwetu. Ipo siku mtaelewa tu.

Sina pingamizi kwa yeye kuwa CCM lakini linapokuja swala la habari kwa jamii inatakiwa kujikita kwenye kuielimisha na kuihabarisha jamii.

Kibonde ni commentator. Yeye kazi yake ni kutoa comments kuhusiana na yale yanayojiri. Kutoa comments ni ku express opinion(s). Kigumu kuelewa hapo ni nini? Yeye katika capacity yake ya kipindi cha Jahazi si reporter wala anchor. Hata hili ni gumu kulielewa?

Kwani kwenye magazeti wewe husomagi op-ed sections? Op-ed ni kifupi cha opinion-editorial. Au hii nayo hujui maana yake?

Mfano kuna magazeti hutokaa kuyasikia kwqenye kipindi cha jahazi na kuna habari hutokaaa kuzxisikia kwenye kipindi cha jahazi na vilevile kuna habari hupotoshwa kwa makusudi na Kibonde ieleweke vingine.

Wao kama kituo binafsi wanayo prerogative ya kuamua wazungumzie habari za magazeti yepi.

Niliwahi kuwa baa na Kibonde mida ya saaa nane akinywa bia na ilipofika saa kumi kasoro aliawaaga wenzake kwa kusenma " badaye ngoja nikaropoke redioni" u can see how is he not serous.

Hata mimi niliwahi kuwa naye pale Brake Point.
 
toka kipindi kile cha kapeni alikuwa mc kwenye ule uzinduzi wa kuchangia ccm kupitia msg nakumbuka alikuwa anaomba apewe ukatibu mkuu wa UVCCM kwa bahati mbaya sana akaonekana hajakuwa na ndiyo maana amebakia kufyata kaa kuku aliyekatwa kichwa hana jipya hana lolote manafiki na mzambiki .
 
Mwacheni yule hamna asiyejua matatizo yake hlf ni swahiba sn wa JK, kuhusu ARV za Kibonde japokuwa si vizuri kuongelea personel ya mtu lkn ukweli ni kwamba jamaa ni mwathirika


Kila Jambo lina faida na hasara yake, sasa hapa kuna uhusiano gani na utangazaji. au vinamsababishia asiweze kufikiri sawasawa?????
Nadhani hii hapa usinge iandika
 
Kibonde alipata Division ZERO form four akarisit ,na ukitaka kujua akili ya mtu imejipanga vipi angalia f4 result Jamaa ni kilaza square!


E bwanaeeeee hiii kiboko, wakati wengine tuna A mpaka zinamwagika nje ya cheti
 
hana akilio yule unakumbuka wakati wa press conference na JK wakati anagombea akawa
katika list ya waliopewa maswali yak uuliza, je wewe unakuwa na akili?

Clouds fm na wotepale ni makada ndio sababu wakamkamata Mr Sugu Mbeya cos of free show aliyotaka
kuonyesha wakati wao wanatoza pesa. Mtandao wao CCm ndio uliomshtaki Mr Sugu kesi ya kisiasa.
 
Niko sehemu mara jahazi limeanza sina jinsi nalazimika kumsikiliza huyu jamaa. Ni maoni ya upinzani kuhusu muda wa elimu ya msingi kuongezwa. Jamaa wamependekeza dozi ya elimu ya msingi iongeezwe coz wanavijiji kibao ndo wanaishia hapo, halafu four na six ziunganishwe ziwe miaka miwili. Mda wa shule unabakia palepale suala ni huyu mtoto apige na ma VETA hukohuko shule ya msingi. Sina uhakika kama kibonde ameelewa. Suala nafikiri kisa ni point ya upinzani
 
Back
Top Bottom