Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa tanzania mpaka ujue kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu kingereza.lema, komba, sugu, azzan, selasini, mbowe, lukuvi

umemsahau mbunge wa korongwe proffesaaaaaa
 
nashindwa kuelewa kwamba ephrahim kibonde ana cheo gani ndani ya ccm? Kwa maana kila wanachokisema chadema yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za zitto. Naombeni mnijuze kwamna kibonde ana mamlaka gani ndani ya ccm au serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini rwanda.muda mwingine kibonde anatukana watu redioni bila aibu..

Kibonde kulikoni?
asante kwa kusikiliza kipindi kidumu...mjengo hudumuuuuuuuu
 
jamani kibonde mbona peace tu..!! hana masilahi yoyote ndani ya CCM, labda ndani ya CCJ.
kibonde ana haki zote za kufanya uchambuzi wa habari kama"mwana habari" au mdau wa habari.
hivyo wala usiwe na ubinafsi kwa kuwa hukutaka kusikia kile ulichotaka kusikia kutoka kwa kibonde....!!
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..

Kibonde kulikoni?


MAADILI ya uandishi wa habari!!!!!!!!!!!! peleka huo usemi kwa vyombo vyote vinavyoisuport CDM kiisha utakachoambiwa ukiwakilishe hapa jamvini
 
I heard somewhere the guy is hunting the district commissioner position!shame on her
 
Kibonde alipata Division ZERO form four akarisit ,na ukitaka kujua akili ya mtu imejipanga vipi angalia f4 result Jamaa ni kilaza square!
 
sasa wewe unayewashangaa watanzania endelea ku discus ishu achana na kudiscus wakina Obama, Ruppert Muddock na wala usiwafuatilie watu kama akina mandela, Che Guevara wewe tafuta tu issues kama vile great depression lakini usiwazungumzie kabisa watu kwa kuwa wewe una great mind
Ningekuwa karibu yako ningekuzaba vibao viwili an ng'wenzi moja kwa kutokuelewa nilichoandika.
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu.. Kibonde kulikoni?
saafi sana Kibonde piga kazi kwa bidiiiiii zote, usitishwe na mtu tupo pamoja bega kwa bega
 
Bahati mbaya sijawahi kumsikiliza huyo KIBONDE. Lakini kutokana na maoni ya wengi humu inaelekea huwa anaongea mambo yanayokera. Kama ni hivyo anapaswa kujirekebisha. Wabongo wengi wana hasira sana hivi sasa wasije wakamshughulikia.
 
mimi pia huwa nasikiliza kipindi hicho cha jahazi,alichosema mleta thread hii ni sawa kabisa suala hapa si tu anajikomba ccm tatizo lake ni kujifanya anajua kila kitu mmesahau alivyowasema vibaya vijana wa vyuo vikuu walipogoma.huyu hafai na nadhani hata meneja wa hii radio nae ana tatizo kwasababu haoni kuwa kuna mtu anaitumia vibaya cloud kutukana watu kwa lengo la kutimiza mtakwa yake kisiasa.si mnyakyusa huyu ila ni wale makabila madogo madogo sana mbeya wanajibidisha kujua kinyakyusa wakija mjini wajiita wanyakyusa huyu anatoka kawetele sehemu za milimani zaidi sana wako wasafwa.
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..

Kibonde kulikoni?

Acha wivu wa kike wewe, na wewe anzisha radio yako uwasifie Magwanda. Nashangaa sana kwa nn viongozi + wanachama + wapenzi wa CDM mnapenda kusifiwa nyie tu hata kama mmekosea ? ovyo sana !
 
Back
Top Bottom