Ephata Nanyaro ajitosa kugombea uenyekiti BAVICHA Taifa

Wajumbe msifanye kosa,dogo anastahili,mambo ya 4-0 nimoja ya jitihada zake
 
kiukweli kwa sasa kati ya wagombea wote mimi kura yangu ipo kwa watu wawili tu!"!!!nanyaro na mwakibinga
 
kiukweli kwa sasa kati ya wagombea wote mimi kura yangu ipo kwa watu wawili tu!"!!!nanyaro na mwakibinga hawa ndo wanaendana na kasi ya cdm katika kuelekea kutwaa dola


kiukweli vijana wengi ni wasomi lkn hawana uwezo wa kutufikisha kutwaa na dola
 
Nanyaro ni mbunifu, mahairi, ana historia dhabiti ya kutetea chama na kujitoa. Vijana mpeni kura mtapata jembe la ukweli.
 
Back
Top Bottom