Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Siku hizi tunafanya kuwakwepa,hata makapuku kama mimi tunawindwa kila kona tupitayo!enzi za mwalimu ukitaka kuoa msichana inabidi ukajikombe kwao yaan watakutumikisha weeee kwa kukulimisha, kupasua kuni nk. baadae wanaweza kukutosa! Lakini siku hizi hakuna hayo makitu!