Enzi za mwalimu!

enzi za mwalimu ukitaka kuoa msichana inabidi ukajikombe kwao yaan watakutumikisha weeee kwa kukulimisha, kupasua kuni nk. baadae wanaweza kukutosa! Lakini siku hizi hakuna hayo makitu!
Siku hizi tunafanya kuwakwepa,hata makapuku kama mimi tunawindwa kila kona tupitayo!
 
>Enthi tha mwalimu wasichana wengi miaka 20 kumkuta na bikra ni kawaida,thatha ivi miaka 13 hukuti kitu,

Ahaa.. Kumbe wewe ndiye unayetuharibia watoto wetu. Ulijuaje watoto wa miaka 13 hawana bikira kama huwatumii?
 
-Enzi za mwalimu wanawake walikuwa wagumu sana kutoa mchezo lakini siku hizi demu unatongoza saa nne kamili na saa nne na nusu unapiga bao.
Saa nana kote huko? In a fraction of a second. Sijui tunaenda wapi
 
Enzi za mwaalimu:Ch*pi ya kike ilikuwa inakuwa nje halafu t*ko ndani,but nowadays t*ko nje ch*pi ndani!
Enzi za mwalimu ch*p* unaweza kushtuka iko shingoni,lakin siku hizi ch*p* za kiume zinavanashuka chini ya makalio
 
-Enzi za mwalimu tulikuwa tumajifunza alfabeti kwa kiingereza ivi;
A - AMBRELLA
B -BALL
C -CAT
I -INK
S -SUGAR
lakini siku izi;
A -ATM
B -BLUETOOTH
C -CPU
I -INTERNET
S -SOFTWARE
 
Enzi za mwalimu wasichana walikuwa wanalinga sana ukiwatongoza lakini sasa hivi "mizigo"imewadodea wanaiuza hadi sh1000/-
 
Enzi za mwalim mwanaume akikojoa mkojo waluka adi kulee na wanawake wakikojoa lazma wachimbe kwa pressure ya mkojo ukitoka . .Cku izi mwanaume akikojoa apo na apo 2. .Wanawake wakikojoa unamwagika bila nguv yoyote
 
enzi za mwalimu david cameron asinge thubutu kuatuamrisha tulane jicho, ila enzi za mkwre jicho bonyee!
 
Enzi hizo tukimuona mzungu yeyote tunajua ni padre na tunamfuata nyuma nyuma[tunamshangaa]
Enzi zile tulikuwa hatupigani picha ovyo ovyo picha iliitaji maandalizi bana. Unavaa nguo zako za. Krikimasi unachana afro unatafuta chupa yako ya Double Cola unaiweka hapo chini. Kajiredio. Kwa pembeni kama una ka saa kako ka Disco uhakikishe kanaonekana vizuri
Yani mpiga picha kumpata ilikuwa ni kwa appointment. Na inaweza kumchukua hadi lisaa kukamilisha pic moja nhihihihihi
 
enzi za mwalimu..binti huwezi kumvua chupi kwa kutaka yeye mwenyewe mpaka upige mtama tena analia kama hataki ile hali anataka
 
Enzi hizo tukimuona mzungu yeyote tunajua ni padre na tunamfuata nyuma nyuma[tunamshangaa]
Enzi zile tulikuwa hatupigani picha ovyo ovyo picha iliitaji maandalizi bana. Unavaa nguo zako za. Krikimasi unachana afro unatafuta chupa yako ya Double Cola unaiweka hapo chini. Kajiredio. Kwa pembeni kama una ka saa kako ka Disco uhakikishe kanaonekana vizuri
Yani mpiga picha kumpata ilikuwa ni kwa appointment. Na inaweza kumchukua hadi lisaa kukamilisha pic moja nhihihihihi
duuh mkuu umeniacha hoii mbavu sina,..
 
Enzi za mwalim mwanaume akikojoa mkojo waluka adi kulee na wanawake wakikojoa lazma wachimbe kwa pressure ya mkojo ukitoka . .Cku izi mwanaume akikojoa apo na apo 2. .Wanawake wakikojoa unamwagika bila nguv yoyote
Yote haya matusi lakini hilo #2 ni bad newz!
 
enzi za mwalimu kabla muziki wa dansi haujafungwa walikuwa wanapiga wimbo wa chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi! lakini siku hizi thubutu uuone moto wale
 
Enzi za mwalimu ukitaka habari ,na muziki ni RTD pekee siku hizi utitiri wa radio enzi za mwalimu TV ni kitu cha anasa enzi hizi ni kitu cha kawaida kuwa nacho.enzi za mwalimu wimbo wa taifa lazima utaujua siku hizi wangapi wanaujua?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom