Enzi za mwalimu!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
-Enzi za mwalimu msichana akitongozwa analia na lazima akamwambie mama yake,lakini siku hizi ukimtongoza binti anajibu 'nakupenda pia ila unashilingi ngapi?'
-Enzi za mwalimu gesti zilikuwa unaandikishwa hadi jina la mjumbe wa nyumba kumi ulipotoka,ila siku hizi jina si lazima ila utakaa masaa mangapi ndilo la muhimu.
-Enzi za mwalimu ukifaulu kwenda kidato cha kwanza wewe basi ni kichwa na kijiji kizima kitakutambua,ila siku hizi pesa huna basi twende ilimradi uonekane nawe huko sekondari.
-Enzi za mwalimu.......(endelea)
 
Enzi za mwalimu ukameruni alikuwa hauna nafasi lkn siku hizi,kila kona.
 
Enzi za mwalimu sh 100 ilikuwa kama sh 10000 lakin siku hizi sh 10000 ni kama sh 100
 
>Enthi tha mwalimu wasichana wengi miaka 20 kumkuta na bikra ni kawaida,thatha ivi miaka 13 hukuti kitu,
 
enzi za mwalimu watoto walicheza komborela na kujipikilisha enzi hizi watoto wananajisiwa na wakubwa.toba!
 
enzi za mwalimu bendera ikiwa inashushwa saa kumi nambili filimbi ikilia tu watu wote mnasimama siku izi sijui imeishia wapi
 
Jaman ukweli mwingine unatufunga,lakini hata bendera zenyewe hazipandishwi siku hizi mfano bora pitia vituo kumi vya polisi ufuatilie ni vituo vingapi vinapandisha bendera..Yaan utachoka.
enzi za mwalimu bendera ikiwa inashushwa saa kumi nambili filimbi ikilia tu watu wote mnasimama siku izi sijui imeishia wapi
 
enzi za mwalimu kondomu zilikuwa hadi uende kwa mjumbe watu walikuwa wanijilia 2 mishkak cku hzi hela yako 2 had nyongeza unapewa
 
Jaman ukweli mwingine unatufunga,lakini hata bendera zenyewe hazipandishwi siku hizi mfano bora pitia vituo kumi vya polisi ufuatilie ni vituo vingapi vinapandisha bendera..Yaan utachoka.

Cku hiz hawa shushi bendera,ila wanaifungua wanaweka mfukon kama handnkachifu! CHAPIA!
 
>Enthi tha mwalimu wasichana wengi miaka 20 kumkuta na bikra ni kawaida,thatha ivi miaka 13 hukuti kitu,
wanaume ndo mnasababisha wasichana waanze mapema mana msichana akikwambia tusifanye wewe unamjibu mie sie kaka yako wala baba yako kama vipi ambaa .
 
enzi za mwalimu ukitaka kuoa msichana inabidi ukajikombe kwao yaan watakutumikisha weeee kwa kukulimisha, kupasua kuni nk. baadae wanaweza kukutosa! Lakini siku hizi hakuna hayo makitu!
 
wanaume ndo mnasababisha wasichana waanze mapema mana msichana akikwambia tusifanye wewe unamjibu mie sie kaka yako wala baba yako kama vipi ambaa .
Unamaanisha tumewashikia akili zenu and OUR WISH is YOUR COMMAND?
 
Back
Top Bottom