sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Mh Rais nakupongeza Kwa kulifungua jengo kubwa la ikulu mpya.
Mh Rais' naomba jumapili ya Leo uungane na Mimi na Taifa Kwa ujumla kumwombea Mh Rais' Dr John Joseph Magufuli Mwenyezi Mungu akapate kumrehemu.
Mh Rais' enzi za utawala wa Rais' wa kwanza wa Tanzania Yaani Julius Kambarage Nyerere, mie nilikuwa Bado mdogo ila Kuna vitu niliweza kuviona,moja ni mfumo mzuri wa ulinzi wa nchi hii kupitia idara ya Usalama wa Taifa.
Niliwai kushuhudia watu walio kuwa wakifanya kazi nzuri ila wakijigeuza vichaa kabisa,Kuna mmoja aliishi maeneo ya Namanga makangira,yaani Huyu bwana alikuwa akionekana punde tu kama Kuna kiongozi atakuja kwenye maduka ya wapemba kufanya shopping,Huyu bwana tulimuona mara moja moja sana akiwa anapita mwalimu,ila tulimwona sana enzi za Jakaya maana Jakaya na namanga pale palikuwa maskani na hata mtoto wake miraji alikuwa na marafiki zake watoto wa Mzee kiingi,kijana mmoja sijui Yuko wapi Siku hizi aliitwa Yusup, (huyu kijana alimfanya Miraji haache shule nakumbu,Siku moja Mzee kikwete alikujaga pale namanga kumkamata miraji aende shule,dogo alijibu sheet sana chezea mtoto wa Waziri unasoma Ili iweje?
Mh Rais ushauri wangu ikulu yangu ni mpya nzuri inapendeza ila wanao ingia humo wataitia najisi
Haiwezekani watu wanao shindwa kuchunguza majizi yanayo tuibia mabilioni ya fedha ambao ni watumishi wa Umma Kila Siku wanatajwa na mkaguzi mkuu wa serikali,uingie nao ikulu yangu mpya.
Tafadhali wambie waache kutuvalia kaunda suti wanazitia najisi,warudi vichakani barabarani.wawe kama vichaa