Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mkuu no.4. ITV na Star Tv zinapatikana ndani ya king'amuzi cha Azam. Au sijakuelewa vizuri?
Angalia na mada/ comment ilipostiwa lini mkuu,tarehe 10February 2014.
mwanzo hizo channel hazikuwepo ndio maana akasema hivyo.
 
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
Najibu namba 4...
ITV na star TV zote zipo kwenye king'amuzi cha Azam...
Pia Azam TV wanaonesha mechi za ligi ya Hispania channel ya Azam sports HD..
 
Angalia wbs imenunuliwa na kwese kwa hiyo utaona epl kupitia hapo
Mkuu nilikuwa nazungumzia
Kwese info.
Kwese movies 2.
Kwese kids.
Kwese movies 1.
Kwese movies 3.
Kwese stories.
Kwese know.
Ambazo zote zinapatikana OTHER TV CHANNELS lakini kwangu mimi huku hazioneshi kitu zote hizo.
 
Mkuu nilikuwa nazungumzia
Kwese info.
Kwese movies 2.
Kwese kids.
Kwese movies 1.
Kwese movies 3.
Kwese stories.
Kwese know.
Ambazo zote zinapatikana OTHER TV CHANNELS lakini kwangu mimi huku hazioneshi kitu zote hizo.
Sijaingia huu uzi kitambo, kuna chennels zimeongezeka? Ni fta au pay tv hizi kwese??
 
fasion Tv inapatikana kwenye other channels ni noma aisee... Frequency 12603 symbol 30000 polar H

pia utapata na channel ya Dieu tv
 
salaam wakuu,,,, leo nimewasha king'amuzi changu cha Azam kika update OTA ila chaa ajabu channels zote ambazo ziko upande wa other channels hazioneshi hata moja,,, msaada tafadhali
 
salaam wakuu,,,, leo nimewasha king'amuzi changu cha Azam kika update OTA ila chaa ajabu channels zote ambazo ziko upande wa other channels hazioneshi hata moja,,, msaada tafadhali
Hapa nasubiri jawabu pia maana hao kwese ni wengi halafu hakuna kitu
 
Back
Top Bottom