AFCON: TBC Inahujumiwa na Azam Tv?

5 Nyingi

JF-Expert Member
Nov 15, 2023
247
594
Hivi majuzi watangazaji wa TBC 1 walisikika wakilalamika kuhujumiwa na mtu ambaye hawamfahamu aliyeamua kupunguza ubora wa picha kipindi matangazo ya AFCON yanaendelea.

Leo TBC1 Haipo hewani kwenye kisimbuzi cha Azam. Azam wamesema tatizo liko upande wa TBC1.

Ikumbukwe kuwa TBC 1 wanaonesha michuano ya AFCON bure na Azam TV wanaonesha michuano hiyo kupitia Azam 3 iliyo katika kifurushi cha 25,000/=.

Wasomi wa Cuba hii mnaonaje?

UPDATES:
TBC IMEREJEA, WACHA TUMWONE DIARA NA AZIZ KI. KESHO TUONE STARS WAKIDUFULIWA TENA.
 
Sie tunaongalia mpira kupitia kwa wakorofi wazayuni# Yes pac na Muarabu #B3in sports tuna comment wapi?
 
Kwamba Azam amuhujumu TBC 😀

Kwanza huyo TBC na ukubwa wote huo anatafuta nini huko kwenye king'amuzi cha Azam!
 
Back
Top Bottom