Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

bunge limejaa walaghai wakina mbowe waliomchukua lowasa waliemchafua kwa miaka nane kuwa mgombea wao wa urais kwa tamaa ya pesa zake...

Upo nje ya msingi wa hoja iliyo ubaoni,acha mihemko..
 
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh. Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh. Sumaye, wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasa.

Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati. Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma, kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.

Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
Hatojichato huko Dodoma?
 
Kwenye mabandiko kila mtu ana opinion yake, walibandika wengi kubashiri kila mtu na mgombea anaeamini angeshinda, hivyo kama wa huyo unaemtaja alishinda sio kwamba alikua na uhakika,ndiyo maana mabandiko yake mengine alimtaja hata lowasa kuwa ndiye atakua Rais, kwa hiyo usibabaishwe na mabandiko ya JF. Bila lowasa magufuli asingekua Rais.
 
Alisema amezuia lakini JK akashurutisha MPANGO UENDELEE, na hili LOWASA alisema kabisa pale dodoma bungeni, na JK alikuwepo mbona hakukanusha? Mbona hamtaki kusikia alichosema LOWASA zaidi ya wanachosema wabaya wake? ALISEMA MKATABA ULIKUWA MBOVU NA ALIMWAMBIA RAIS NA ALIUSITISHA ILA RAIS JK AKAMUAMURU MPANGO UENDELEE, muwe mnaandika mlicho sikia na kama hamkusikia mkae kimya, usimshuhudie jirani yako uongo, acha kujibebesha chuki kwa kukaririshwa jaribu kufuatilia kama hukuhua lililojiri,.
kwa hiyo alivyoshurutishwa kusaini mkataba mmbovu kwa nini akakubali? si angekataa akajiuzulu ? kwa nini hakujiuzulu mpaka alivyoumbuliwa bungeni? tumia akili dada tatizo lako akili yako inawaza kuzungurusha mikono tuliza akili acha kukaririshwa ujinga na wakina mbowe lowasa alihusika na Richmond 100&
 
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh. Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh. Sumaye, wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasa.

Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati. Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma, kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.

Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.

muda wa kuzungusha mikono umeisha bira mafanikio (malofa )

mkakati mpya ni kuwa mabubu bungeni:(:(:(:(:(:(

na ivi wanavopenda cheap popularity sindo tutawasahau kabisa wakina mdee,lisu,msigwa

naona wazee wameliona ilo ngoja tuone "kimkakati" isije kuwa remix ya kuzungusha vidole lakini
 
by the way Lowassa hana papara...pesa IPO ya kutosha tatizo liko kwa waganga njaa...huwezi kushindana na mtu kama Lowassa...jina lake liko miyoni mwa wa Tz...is a controversial leader/politician. Mrema inamsumbua njaa hakujipanga Lowassa alijipanga hata huo udiwani sio hoja kwake.

ccm wanamfahamu vizuri ndio maana wakisikia jina lake lazima hofu iwaingie....
ndio maana mbowe amemkumbatia lowasa kwa ajili ya pesa zake za ufisadi
 
hiyo nguvu yake ipo wapi sasa??kakatwa ccm kakatwa na wananchi hiyo nguvu yake ipo wapi??
ccm ni zaidi ya lowassa,lowassa aliikuta ccm na ataicha ccm ikiendelea,huu uzushi uzushi uzushi wenu pelekeni hukoo monduli
Nguyu yake ndio iliyofanya membe akatwe, wananchi hawakumkata ila kura hazikuwa za wazi, kama mlikuwa na uhakika na kura kwa nini mlizuia vijana walikokuwa wanakusanya kura kutoka kwenye vituo na kusema si kazi yao? Kwani walihitaji malipo wale mpaka mumazuie kufanya kazi yao? Mtadanganya wachache sana.
 
Tuweke kumbukumbu sawa.
Mrema aliishia kuwa Naibu waziri mkuu

Lowasa alikuwa waziri mkuu.

Ulipaswa kusema kumtaja Wasira sio eddo
Mkuu mbona unachanganya mambo jamaa hajasema kuhusu uwaziri bali kazungumzia jinsi Mrema alipovuma nchi nzima kama Lowasa na sasa amekua ombaomba wa kisiasa.
 
kwa hiyo alivyoshurutishwa kusaini mkataba mmbovu kwa nini akakubali? si angekataa akajiuzulu ? kwa nini hakujiuzulu mpaka alivyoumbuliwa bungeni? tumia akili dada tatizo lako akili yako inawaza kuzungurusha mikono tuliza akili acha kukaririshwa ujinga na wakina mbowe lowasa alihusika na Richmond 100&
Wewe ndio wa kutuliza akili usikaririshwe na mwakyembe, mbona JK hajakanusha nimekuuliza? Mbona mwakyembe hampeleki huko mahakamani? Acheni chuki nyie kama kuzungusha mikono ni ishu kwa nini kupiga push ups isiwe ishu?
 
Bado hajatua tu huyo fisadi Lowasa? Angalieni asije kuchafua hali ya hewa hapo Dodoma
 
Nguyu yake ndio iliyofanya membe akatwe, wananchi hawakumkata ila kura hazikuwa za wazi, kama mlikuwa na uhakika na kura kwa nini mlizuia vijana walikokuwa wanakusanya kura kutoka kwenye vituo na kusema si kazi yao? Kwani walihitaji malipo wale mpaka mumazuie kufanya kazi yao? Mtadanganya wachache sana.
nyie bakini na kelele zenu maana ndizo mnaziweza...............
 
Wewe ndio wa kutuliza akili usikaririshwe na mwakyembe, mbona JK hajakanusha nimekuuliza? Mbona mwakyembe hampeleki huko mahakamani? Acheni chuki nyie kama kuzungusha mikono ni ishu kwa nini kupiga push ups isiwe ishu?
kuachwa kujiuzulu kwa aibu ni adhabu tosha...hata akipelekwa mahakani pesa zote ameshatumia kununulia CHADEMA itasaidia nini?
 
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh. Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh. Sumaye, wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasa.

Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati. Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma, kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.

Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
Lowasa ni nyuki wa mashineni (hang'ati) wala hatishi kisiasa bunge litahaha vipi? Sema ukawa wahaha na si bunge. Mzee kashajichokea hana hata kumbukumbu ya anayofanya. Tunza maneno then utasema baadae yatakayojiri utujuzi kijana.
 
Umeelewa somo sasa kiri tu kuwa ulilishwa sumu kweli LOWASA SI FISADI.
na nashukuru mungu walionilisha sumu sasa wapo nae huko,wanaendeleza wimbi lao la unafiki na uongo,kwa sasa sitakubali kulishwa sumu na hao watu wakiongozwa na mbowe
 
kuachwa kujiuzulu kwa aibu ni adhabu tosha...hata akipelekwa mahakani pesa zote ameshatumia kununulia CHADEMA itasaidia nini?
Maneno ya kujifariji, hivi hii adhabu ya kusema alie iba arudishe huwa ipo kwenye kifungu kipi? maana naona ccm mwenyekiti wenu wa chama ndio kaja na style hii na nyie kasuku wa kukaririshwa imeikopi, adhabu ya mwizi ni kurudisha hela?! Ajabu kweli ukasuku mbaya.. wala sina haja ya kujibu lolote tokaa kwako maana huna la maana zaidi ya kuimba nyimbo zilipendwa.
 
Hata mimi naweza kukubaliana nawe bwana mcubic kuwa Lowasa sio msafi. Na kwa kweli kama mtu ni mhalifu hata kama ni mwanao hakuna haja ya kumtetea bali kuhakikisha sheria inafuatwa kumhukumu. Hata vitabu vya Mungu vinaruhusu sheria kufuata mkondo.
Tatizo linalonipa mashaka ni kuwa, huyu Lowassa huyu tunaambiwa ana madhambi mengi na mwenyewe kajitetea lakini mwisho kajitoa muhanga kabisa kuwa mwenye ushahidi apeleke mahakamani. Sasa jee tukiacha watu individual, kweli vyombo vyote vya ushtaki kama Polisi, TAKUKURU, DP, Tume ya maadili na nini sijui wote hawa wameshindwa kumpeleka mbele ya sheria? Tena mtu aliyekinyima chama tawala raha na kukikosanisha na watu wake wanaweza kumwangalia na makosa yake bila kumfanya lolote?
Jaribu tuu kuwaza kwa undani, vinginevyo mniambie kuwa makosa hayo ya Lowassa basi yakiwekwa hadharani yatasababisha watu/mtu wasioguswa/asiyeguswa akaathirika.
Leo miaka karibu 9 tunaimba Lowassa fisadi no action, mwisho itafika 30 hata hawa watoto ambao watakuwa watu wazima watatuona wanafiki kupindukia. Hakuna kesi basi ni msafi full stop
Alijiteteaje?

Waliokuwa waamuimba fisadi ni akina nani?

Hivi ni kwa nini tuongozwe na MTU mwenye shutuma au kashfa za ufisadi? Ilhali waadilifu wapo?
 
Hivi bado mnazungusha mikono? Huyo Lowassa kwishney siku nyingi sana. Hata ajitutumue vipi hawezi kuleta athari yoyote kwani watu wanachapa kazi ili kuiletea nchi maendeleo.
 
na nashukuru mungu walionilisha sumu sasa wapo nae huko,wanaendeleza wimbi lao la unafiki na uongo,kwa sasa sitakubali kulishwa sumu na hao watu wakiongozwa na mbowe
Pole sana muulizeni kikwete mbona humpeleki lowasa mahakani? Au ni kweli wewe ndio ulibariki hayo mbona hamthubutu? Acheni kukariri vihoja badala ya hoja.
 
Back
Top Bottom