Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

Thu
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh. Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh. Sumaye, wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasa.

Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati. Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma, kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.

Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
Thubutu, huyu analiogopa bunge la live ile mbaya. Anajua lilichomfanya enzi zile, na pengine live ya wakati ule ndo ilimfanya anuke na hatimaye kuukosa urais. Ingekuwa si suala lake kuongelewa live (lile lirichmond lake) pengine angechaguliwa urais awe ccm au kokote lakini sasa ile bunge live ya wakati ule ilimuweka uchi na hicho hasa ndo kilimfanya ashindwe kumwaga nondo wakati wa kampeni. Alijiona yu uchi muda wote.
 
lowaxa hatokaa apasahau dodoma especialy CHIMWAGA. tena siku hizi wanapaita machinjio ya lowaxa.
 
Back
Top Bottom