Edo Kumwembe na uchambuzi wake wa kinafiki

Kumwembe is so smart hiyo mechi ya Arsenal na Barca sio yeye tu ata akina Robert Manara wa S.Sport waliiponda Arsenal kiujumla walielemewa na nimeshamskia eddo mara kadhaa akiiponda Midfield ya United kwamba hakuna kitu, anamsifiaga sana Jack Wilshere wa Arsenal ameshamponda sana Kocha aliyetimuliwa wa Liverpool Roy Hodgson na Kenny Daglish sasa hilo ndo soka jamaa hakupaki mafuta anakupa ukweli though tunajua UKWELI UNAUMA ila kwa wachambuzi smart Dr. Liki Abdallah na Eddo Kumwembe ndo wenyewe!
 
Hakuna mchambuzi kama Edo Kumwembe kwa sasa Tz na kiuhalisia siku zote uwa anaelezea ukweli na inabidi tujifunze kuukubali ukweli. Na pia mleta mada tambua Edo haichambui kwa mabaya arsenal, pia jaribu kufuatilia vizuri Edo ni shabiki wa arsenal pia lakini penye ukweli anaeleza ukweli.
 
Wachambuzi wa Bongo ni "Second Hand Columnist"...wao week nzima wanajifungia ktk mitandao na wachambuzi mbalimbali duniani,wanaiba idea na kuziweka tu kwa lugha ya kiswahili...kama ni mfuatiliaji wa Columnists mitandaoni utagundua jamaa wanakop na kupest!ukipita ktk site za sports za kidunia...utagundua hakuna mpya,iwe kwa Kumwembe au Shafii Duda
 
Back
Top Bottom