Edo Kumwembe na uchambuzi wake wa kinafiki

Kocha wa Arseal ndo gamba lililoota mizizi, acha hasira ingawa ukweli unauma.
SHAFII DAUDA is a smart analyst. Anapochambua uwa anajaribu kuipa shavu kila timu kulingana ma kile inachostahili. Ni vigumu hata kujua shafii anashabikia timu gani kwa kuwa uchambuzi wake unakuwa umebalance. Ni tofauti na eddo kumwembe ambaye kila mtu anafahamu ni mnazi wa man united. Nilimdharau eddo kumwembe tangu mwaka 2007 pale ambapo man u walicheza na arsenal emirate na kutoka mbili kwa mbili huku gallas akichomoa goli dakika ya 93. Eddo alipokuwa ana comment aliwasifu sana man u na kuwaponda arsenal huku akisema arsenal imeokolewa na bahati tu lakini walistahili kufungwa. Nakumbuka kuna mtu alimpinga palepale studio anamwambia afute kauli yake kwa kuwa arsenal ilifunga goli halali katika dakika za mchezo hivyo hakuna bahati yoyote hapo. Eddo alifuta kauli japo kwa shingo upanda. Eddo hana tofauti na kelvin motto wa ATN. .
 
Mie binafsi huwa namkubali sana huyu EDDO. Anajitahidi sana kufanya uchambuzi wa soka. Ila kwa kuwa anasema ukweli huwa inauma kwa baadhi ya watu. Niliipenda makala yake ya hivi karibuni kwenye Mwanaspoti alipohoji Azam kubadilishana na Simba Patrick Mafisango na Humoud, akisema Azam wamechemsha kwani Mafisango ni kifaa zaidi na ni mchezaji kiraka tofauti na Humoud. Pia aliwashangaa Simba kumuacha Rashid Gumbo na kumsajili Athumani Iddi 'Chuji'. Ingawa kwa Chuji mie nadhani it's a matter of time, atarudi kwenye kiwango chake. Amepata matatizo mengi sana huyu dogo baada ya kuanza kubwia unga. Naelewa kuwa hivi sasa benchi la ufundi la Simba linamtengeneza kisaikolojia ili aweze kurejea kwenye kiwango.
 
mi sifikirii kama kuna mchambuzi kama edo kumwembe nchi hii anachambua soka kwa kuelewa na sio kukremisha big up edo, shafii dauda anakremu kila siku utamskia ronaldo analipwa paund elf 2 baada ya laki 2 haelewi ana kremu tuuuu, source yake soccer net website ambayo haipo updated kama huamni kacheki leo uone bado hawaja update hata matokeo ya mwisho ya ligi,
 
Shaffi dauda ni manchester united,Yanga wa kufaa pia huchukuwa uchambuzi wa wahariri wa mtandao Goal.com ambao hufanya anylsys hapo kwa papo isitoshe ana tatizo kubwa sana la kuitamka R katika L vivyo hivyo L katika R ajirekebishe sasa ni muda mrefu sana Huyu Edo Kumwembe ni Chelsea wa kutupwa na pia Yanga wa kufa hajacheza mpira kama alivyo Shaffi anakosa vitu kibao katika taaluma ya soka kama utawasikiliza vizuri na ukamsikiliza na commitetor wa mchezo wanaouchambuwa hufuatilia kila anachoki comment mtangazaji kisha wanakuja kukiongelea kuanzia technical,Data nk.
toa ushahidi kama edo na shafih ni mashabiki wa yanga na man u,hatutaki porojo hapa!
 
minaona kaka umekasilika kutokana na Edo kumwembe jinsi anavyoielezea arsenal!sikufichi arsenal ugonjwa wamoyo kubali ukatae?
 
Mi c mchangiaji sana, but kwa hili la edo naomba nami nichangie kidogo...Kwa sasa hapa Tanzania cjui kama tunamchambuzi bora kama Edo Kumwembe..Jamaa yupo mzuri sana ky uchambuzi...Big up kaka Edo kumwembe kwa uchambuzi bora...
 
Mti wenye matunda ndio urushiwa mawe,kiukweli jamaa wanajua wanachokifanya,mtoa mada ameleta kitu kinachoitwa mgongano wa kimaslahi that is all,big up edo,big up shaffi
 
Kuna watu hapa bongo ni kama wamejimilikisha hati ya uchnbuzi wa soka...kwamba wakisemacho wao ndio kila kitu katika soka....kuna watu wanajua kuchmbua soka laiki sababu uchambuzi si kazi yao kama ajira huwezi kuwaona...lakini kutoonekana kwao ktk soka hakuumanishi kuwa hawajui...huyu jamaa anajua pia kuchmbua soka,laikini ana dhana kuwa yeye anajua kila kitu ktkt mpira,kumbe hapana...akiwa mitandaoni nataka group la watu wanaomsifia...vijana wakimpinga kwa hoja anawablock...sasa si kili mtu anajua kila kitu..jamaa akubali tu kuwa kuna wengine wanajua pia,lakini sbb uchambuzi si kazi yao..na wala hawana column,haimaanishi hawaujui mpira
 
mi sifikirii kama kuna mchambuzi kama edo kumwembe nchi hii anachambua soka kwa kuelewa na sio kukremisha big up edo, shafii dauda anakremu kila siku utamskia ronaldo analipwa paund elf 2 baada ya laki 2 haelewi ana kremu tuuuu, source yake soccer net website ambayo haipo updated kama huamni kacheki leo uone bado hawaja update hata matokeo ya mwisho ya ligi,

Mkuu Chief nakuunga mkono. Haya maneno uliyoyasema ni sawa kabisa niliyotaka kuyazungumza hapa. Mara nyingi Edo akichambua soka nakua makini sana kumsikiliza jamaa ni smart na anachozungumza huwa nakikubali.

Of course yeye ni mchambuzi na huwa anazungumza kutokana na experience yake pamoja na muono wake kwa ujumla. Kwa hiyo mtu mwengine kuwa na fikra tofauti na yeye ni kitu cha kawaida.

All in all jamaa yuko makini kwa ujumla.....
 
Jamani tujue tu kwamba na yeye ni binadamu halafu sina hakika kama kuna shule maalum ya uchambuzi, ninachojua ni kwamba wachambuzi wengi wameibuka baada ya Dr. Leakey ambaye nadhani ana kipaji cha kukariri na kumbukumbu kali
Nilikuwa nikimuheshimu sana bwana EDO KUMWEMBE ambaye ni mchambuzi wa soka lakini siku za karibuni ameanza kutoa uchambuzi wake wa kinafiki, especialy pale anaipoichambua Arsenal.

Hakuna siku ameiopengeza Arsenal zaidi ya kuiponda, mfano baada ya mechi ya Arsenal na Barcelona, Edo alichambua jinsi ambavyo Arsenal haikupiga shuti golini hata moja, aliisifia sana Barca, alichambua mchezaji mmoja mmoja, dakika walizocheza, pasi walizotoa kimsingi alitaka kuinyesha Arsenal ni kwa kiasi gani ilivyo mbovu.

Zikafuatia mechi za MADRID NA TOTENTHAM, BARCELONA NA SHAKTAR, MAN UTD NA CHELSEA hapa kote sikuona comparison iliyofanyika kama kwa Arsenal na Barcelona? Kwa nini na huku hakufanya comparison kama hizo?

Kwa nini analeta mapenzi binafsi katika kazi,juzi tena akatoa BONGE LA MAKALA HALF A PAGE katika mwanaspoti eti ILI ARSENAL IFANIKIWE INAHITAJI WACHEZAJI FULANI,akawataja!! tangu lini Edo amekuwa kocha? kaka acha ushabiki binafsi la sivyo unajipotezea wasomaji.
 
Sisomi tena uchafu wake wa nyuma ya pazia sijui mlango! Yani kumbeeeeee unajua mda mrefu huwa najaribu kumfikiria huyu mtu yani hajawahai kuisemea mema hii timu. Ndo maana nagazeti lenyewe sa ivi harina mwelekeo. Mbumbumbu mkubwa huyu kanibore sana ayseee.
 
Tukielekea huko nchini Uhithpanya, leo wazee wa Katarunya aka Batheronya wanaenda kukwaana na Efsii Maragha ya mjini Sevirr (Kwa sauti ya Shaffih).

Kiukweli mimi uchambuzi wa soka la nje siusikilizi toka kwa Shaffih, Edo wala Kibonde hata Dr. Leakey simfuatilii. Nina uwezo wa kusearch online na kusoma wachambuzi wa nchi husika kama wao tu.
 
Back
Top Bottom