Edo Kumwembe na uchambuzi wake wa kinafiki

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
Nilikuwa nikimuheshimu sana bwana EDO KUMWEMBE ambaye ni mchambuzi wa soka lakini siku za karibuni ameanza kutoa uchambuzi wake wa kinafiki, especialy pale anaipoichambua Arsenal.

Hakuna siku ameiopengeza Arsenal zaidi ya kuiponda, mfano baada ya mechi ya Arsenal na Barcelona, Edo alichambua jinsi ambavyo Arsenal haikupiga shuti golini hata moja, aliisifia sana Barca, alichambua mchezaji mmoja mmoja, dakika walizocheza, pasi walizotoa kimsingi alitaka kuinyesha Arsenal ni kwa kiasi gani ilivyo mbovu.

Zikafuatia mechi za MADRID NA TOTENTHAM, BARCELONA NA SHAKTAR, MAN UTD NA CHELSEA hapa kote sikuona comparison iliyofanyika kama kwa Arsenal na Barcelona? Kwa nini na huku hakufanya comparison kama hizo?

Kwa nini analeta mapenzi binafsi katika kazi,juzi tena akatoa BONGE LA MAKALA HALF A PAGE katika mwanaspoti eti ILI ARSENAL IFANIKIWE INAHITAJI WACHEZAJI FULANI,akawataja!! tangu lini Edo amekuwa kocha? kaka acha ushabiki binafsi la sivyo unajipotezea wasomaji.
 
Lakini anayosema siyo ya kweli?
Au kuongea hvyo kutawahadhiri wachezaji kisaikolojia?
 
Anaumia Arsenal ikifungwa maana yeye ni mshabiki mkubwa wa Arsenal ndio maana anajaribu kuangalia tatizo lipo wapi!!
 
Ni kweli tupu na mara zote ukweli unauma...Arsenal ijivue gamba tu ianze upya tumechoka na show game zao zisizo na malengo
 
swali zuri ni hilo la je alikuwa anaongea ukweli ama???????????
 
Mbona kuna wachambuzi kbao hawaipendi Barc na wanaichambua kwa kuisema vbaya wala c umii wala nini
kwahyo na wewe wa Ars unapaswa uvumilie.
 
SHAFII DAUDA is a smart analyst. Anapochambua uwa anajaribu kuipa shavu kila timu kulingana ma kile inachostahili. Ni vigumu hata kujua shafii anashabikia timu gani kwa kuwa uchambuzi wake unakuwa umebalance. Ni tofauti na eddo kumwembe ambaye kila mtu anafahamu ni mnazi wa man united. Nilimdharau eddo kumwembe tangu mwaka 2007 pale ambapo man u walicheza na arsenal emirate na kutoka mbili kwa mbili huku gallas akichomoa goli dakika ya 93. Eddo alipokuwa ana comment aliwasifu sana man u na kuwaponda arsenal huku akisema arsenal imeokolewa na bahati tu lakini walistahili kufungwa. Nakumbuka kuna mtu alimpinga palepale studio anamwambia afute kauli yake kwa kuwa arsenal ilifunga goli halali katika dakika za mchezo hivyo hakuna bahati yoyote hapo. Eddo alifuta kauli japo kwa shingo upanda. Eddo hana tofauti na kelvin motto wa ATN. .
 
Shaffi dauda ni manchester united,Yanga wa kufaa pia huchukuwa uchambuzi wa wahariri wa mtandao Goal.com ambao hufanya anylsys hapo kwa papo isitoshe ana tatizo kubwa sana la kuitamka R katika L vivyo hivyo L katika R ajirekebishe sasa ni muda mrefu sana Huyu Edo Kumwembe ni Chelsea wa kutupwa na pia Yanga wa kufa hajacheza mpira kama alivyo Shaffi anakosa vitu kibao katika taaluma ya soka kama utawasikiliza vizuri na ukamsikiliza na commitetor wa mchezo wanaouchambuwa hufuatilia kila anachoki comment mtangazaji kisha wanakuja kukiongelea kuanzia technical,Data nk.
 
Edo yuko sahihi, huwezi kusifia timu simply because ni arsenal.......... kama wewe ni mpenzi wa arsenal utakubali kwamba hakuna walichofanya in the last 10 matches zaidi ya kuifunga leyton orient na birmingham
 
Anadumisha typical african tradition ya kushindwa kuwa neutral wakati wa kutenda haki! Anyway, elimu zetu pia zina-matter a lot! Waandishi wetu wengi hawajiongezei ujuzi, they don't read much to improve their skills and sharpness, zaidi parochialism and partisanship zinawaathiri!
 
actually wazungu wako more biased
 
Anaumia Arsenal ikifungwa maana yeye ni mshabiki mkubwa wa Arsenal ndio maana anajaribu kuangalia tatizo lipo wapi!!

Na hapo ndo penye utata, mimi ni shabiki wa Arsenal tangu 90s, mashabiki kimba wa juzi ukiwaeleza kuwa Arsenal ni mbovu hawataki, wanashindwa kutenga ukweli na mahaba. Sasa sijui kipimo cha ubovu ni nini kama timu ilikaribia ubingwa na sasa kuna hatari ya kujikuta nafasi ya 5 katika mechi zisizopungua tano? To hell mashabiki maandazi wa Gunners.....
 
yanayosemwa ni ukweli Arsenal ngoma ya watoto wala Edo sio mnafiki yani kuambiwa ukweli unakasirika? Karibu upande wa kila week end pressure juu si liverpool tushajizoelea walisema saana hao hao sampuli za kina Edo ''bongo soccer analysits'' oh liverpool watashuka daraja sa mwendo mdundo tunafukuzia Europian sport
 
SHAFII DAUDA is a smart analyst. Anapochambua uwa anajaribu kuipa shavu kila timu kulingana ma kile inachostahili. Ni vigumu hata kujua shafii anashabikia timu gani kwa kuwa uchambuzi wake unakuwa umebalance. Ni tofauti na eddo kumwembe ambaye kila mtu anafahamu ni mnazi wa man united. Nilimdharau eddo kumwembe tangu mwaka 2007 pale ambapo man u walicheza na arsenal emirate na kutoka mbili kwa mbili huku gallas akichomoa goli dakika ya 93. Eddo alipokuwa ana comment aliwasifu sana man u na kuwaponda arsenal huku akisema arsenal imeokolewa na bahati tu lakini walistahili kufungwa. Nakumbuka kuna mtu alimpinga palepale studio anamwambia afute kauli yake kwa kuwa arsenal ilifunga goli halali katika dakika za mchezo hivyo hakuna bahati yoyote hapo. Eddo alifuta kauli japo kwa shingo upanda. Eddo hana tofauti na kelvin motto wa ATN. .

kaka umeongea kweli tupu,jamaa abadilike bwana
 
Back
Top Bottom