DvD ya matukio ya kisiasa Arusha ipo mtaani

Na msubili PJ aje aseme kama ndiyo hii aliyoiona au kuna nyingine...
mkuu,
sina utaalamu sana na kompyuta naomba maelekezo ya kuikopi hii na kuiweka kwenye kompyuta yangu ili nikirudi kijijini kwetu maswa niwaonyeshe wapiga kura
 
mkuu,
sina utaalamu sana na kompyuta naomba maelekezo ya kuikopi hii na kuiweka kwenye kompyuta yangu ili nikirudi kijijini kwetu maswa niwaonyeshe wapiga kura
Ukiwa na Internet Download Manager itakuwa rahisi sana...lakini kama ndiyo hii na unawapelekea wananchi nitakutumia...
 
Ukiwa na Internet Download Manager itakuwa rahisi sana...lakini kama ndiyo hii na unawapelekea wananchi nitakutumia...

kaka utanisaidiaje niliye huku sikimbi na cjatembea na laptop au fanya msada nkuinbox ma email id.. Z it pocbo?
 
Mhu! Basi technologia ni kali kweli....Nimeangalia hiyo video,ikionyesha ni dvd iliyoandaliwa na chadema.....baada ya kumaliza narudia nakuta ni kitu cha TBC(taarifa)

Lakini nimeogopa sana na nimelia! kweli CHADEMA walinyanyaswa kwenye uchaguzi wa meya,hasa mbunge wetu Lema.Kweli demokrasia ilibakwa hasa.Inasikitisha.
 
Kimsingi CHADEMA kwa yaliyotokea Arusha hata mwehu atakuambia CHADEMA wameonewa sijui waziri mkuu alituonaje sisi kutaka kutudaganya....
 
Nimelia sana hapa ofisini kwangu kuona watu kama wanyama wanacheka kama wachawi ,wanafurahia kupigwa kwa wenzao. secretary wangu kaja kuona kama nimefiwa nikamwambia toka hapa. Huu ni unyama au ccm ni alikaida. Anyway Mt.Theresa alisema "sijui anawaza nini akimpiga risasi mwenzake, sijui lakini wote ni viumbe wa Mungu".
 
Hakika maumivu ya wana Arusha hayawezi isha...ndiyo maana juzi polisi alipo twanga risasi wengi tulishangia sijui kama tulikuwa sahihi...
 
PJ hiyo DVD ndiyo hii

na hii

Kilichonifanya nibaki mdomo wazi ni pale sauti ya polisi inaposikika "Aje Killer mara moja aje killer" sikiliza video ya kwanza kuanzia dakika ya 6.57. Hawa jamaa walidhamiria kuua raia wema na kwa mtindo huu ni lazima wahusika wafikishwe mbele ya sheria. Hatuwezi kuwa na serikali ya kimafia isiyolinda haki za raia wake ikiwamo kuishi. Yaani jamaa anaongea kama vile anataka kuua myama pori vile.
 
Last edited by a moderator:
dvd hiyo itakuwa ya uwongo

Kama wewe ni ccm utasema ni ya uongo Ila sisi tulioiona ni ya kweli kabisa kwa wanamageuzi wote inaleta hisia fulani hasa kwa sisi tuliokuwepo siku ya tukio na tuliona kwa macho yetu.
 
Asante sana mchonga, huu ushahidi ni muhimu tuwapelekee mahakakama ya kimataifa ya makosa ya jinai.
 
Back
Top Bottom