Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,655
- 20,988
Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa.
"Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko tutazifanyia kazi. Nitachukulia maandamano na Mkutano wao wa hadhara kama sehemu ya mikutano yangu ya hadhara ya kupokea kero za wananchi."
NB: Tuchukuwe hoja zao, tuzifanyie kazi kwa umakini mkubwa,
° Maji
° Afya
° Umeme
° Ajira ni kilimo na kujiajiri
° Wale wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ni muhimu wakaguswa, huenda hawa nyau wakatumia mlango huu, tuuzibe.