Viongozi wanafiki wanashinda YouTube kutafuta matukio ya kupatia kiki za kisiasa. Huu ni unafiki

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii.

Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi.

Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni ya hovyo yamefanywa na watumishi wa umma.

Ila hatua zimechukuliwa haraka kwa matukio yale tu yaliyomulikwa na vyombo vya habari.

Muache kumfukuza au kusimamisha kazi watumishi kwa kutafuta kiki za kujiimarisha kisiasa.

Kama mmeweka gharama kwa kila mama atakayefanyiwa operetion ya uzazi jukumu la watumishi ni kusimamia mulichokiweka.

Wakisimamia na kutokea madhara munakuja juu. Ondoeni gharama zote anazopaswa kulipishwa mjamzito na mtoto mdogo.

Huduma za afya mbavu, hospital za umma na vituo vya afya wanachama wa NHIF tunapata dawa grade ya 3 zisizo na ubora mwilini, na mara nyingi tunaambiwa dawa tukanunue kwenye maduka ya hospitali.

Serikali imefeli katika kila jambo. Maji, umeme, afya na elimu.

Kazi ya viongozi ni kupekua YouTube ili wakutane na tukio watoe kauli za kiki waonekane wana akili timamu na uchungu kwa wananchi.
 
CCM MFU
 
Mvua zisiponesha utawasikia tatizo la umeme ni kwa sababu ya ukame mabwaya yamekauka, sasa Mungu kwa kuwambuwa analeta mvua za kutosha na bado shida iko palepale.

Tatizo la Tanzania ni CCM, CCM ni laana.
 
Mvua zisiponesha utawasikia tatizo la umeme ni kwa sababu ya ukame mabwaya yamekauka, sasa Mungu kwa kuwambuwa analeta mvua za kutosha na bado shida iko palepale.

Tatizo la Tanzania ni Ccm, Ccm ni laana.
Hili zimwi kuliondoa kazi sana maana wananchi wenyewe ni kama akili zao zimetekwa .
Dada yangu alisema CCM ni kama baba na mama hawezi kuisaliti.
Duuuhh
 
Back
Top Bottom