Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Hela ndogo sana hiyo mkuu .... Dukani lazima kiwepo cheti cha mpharmasia ambaye utamlipa Million 1 mpaka million 1.5 kwa mkataba wa miezi 6....

Bado hujalipa kodi ya chumba ambayo umesema ni laki 5 kwa mwezi....

Bado ukarabati wa chumba vinatakiwa viwepo vyumba viwili vikubwa na ufunge Air condition ... Bado Manunuzi ya mzigo dawa,
Ongeza ifike hata Mill 25

Au nakushauri uanze na duka la Dawa Muhimu ambalo gharama yake haizidi Mill 5
Huyu Naye, in ground wanakula 250,000 tsh per month,na siku zinaenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom