Biashara ya dawa na Changamoto zake

Cosmasjulius

JF-Expert Member
May 22, 2018
695
1,005
Siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la famasi au maduka ya dawa lakini wengi wameishia kufunga biashara na kukimbia frame.

Je, tararatibu zipi za kufuata?
  • Unafanyaje ili uweze kufanikiwa kwenye biashara hii hadhimu ya dawa?
  • Zipi ni dawa muhimu na zinatoka kwa haraka na wapi utazipata?
  • Location Je ina umuhimu gani kwenye biashara hii ya dawa?
Karibu tuongee na kama unataka kufanya biashara hii check me PM.
 
Mkuu wewe tuwekee madini tu hapa, PM watakuja automatic wale watakaoguswa.

Inaonekana hayo maswali uliyouliza wewe ndiyo mwenye majibu yake.

Weka madini ili watu waongezee madini mengine.
 
Mimi natamani sana kufanya hii biashara ya Dldm kutokana na mtaji wangu kuwa mdogo lkn sina mwongozo hasa wa maeneo yanayofaa yanayoruhusiwa na ambapo nikiweka biashara itatoka msaada plss.. Popote hapa Dsm nkipata eneo ntashukuru sana!
 
Back
Top Bottom