Duka la dawa za asili/kisunna

Extrovert24

Senior Member
Jun 23, 2022
107
124
Habari wakuu,
Matumaini yangu mko vizuri na wenye shida Mwenyezimungu awasaidie, Niende moja kwa moja kwenye maada.

Wakuu naomba kuuliza kuhusiana na duka la Dawa za asili au kama ilivyozoeleka Dawa za kisunna, utaratibu katika kufungua duka la namna hii,

Mtaji uanzie kiasi gani Kwa minimum

Sehemu ya kuchukulia mzigo safi

Dawa zipi za kuanza nazo ambazo ni common na zinatoka kwa urahisi

Na je faida yake waweza kuishi nayo vema/yani kwa mfano bila kutegemea source nyingine ya kipato??

Naomba Kuwasiliaha
 
Faida inategemea location iina wanga kias gan
 
Pamoja na kwamba hii ni biashara, ila bila shaka anayeanzisha biashara ya namna hii anakuwa na weledi juu ya masuala ya tiba hizo ( sizungumzii muuzaji)

Hivyo moja kwa moja atakuwa anajua ni dawa gani za kuweka na wapi pa kuzipata na atauza wapi, ni sawa na mfamasia akitaka kifungua duka la dawa, hawezi kuja hapa kuuliza eti aanze na dawa gani.

Na maduka mengi ya tiba asili unayoyaona nyuma yake kunakuwa na watabibu wa tiba hizo ambao ndio wanakuwa wamiliki wa hayo maduka.
 
Ni sahihi Mkuu, waweza jua matibabu lakini Biashara ni kitu kingine na ndio mana nikauliza kwanza concerning business
 
Sasa watu unaowauliza sio waganga na hawana ujuzi wa mitishamba watazijuaje hizo dawa.
Maana kwenye dawa za hospitali majina yake ni yaleyale yaani kila nchi kuna dawa ya Panadol na formula haibadiliki.
Lakini kwenye upande wa mitishamba hakuna kanuni maalumu kila mmoja ana miujiza yake tofauti ya kutumia miti/mimea kuwatibu watu.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli .biashara ya dawa unaweza kufanya hata kama haujui inatibu nini sababu zina majina. Mteja akija atakwambia jina la dawa anajua anaenda kuifanyia nini. Na wauza dawa za kisuna ukimuuliza kuhusu dawa za mitishamba zinatibu nini hakujibu. Anaona unamjaribu
Pamoja na kwamba hii ni biashara, ila bila shaka anayeanzisha biashara ya namna hii anakuwa na weledi juu ya masuala ya tiba hizo ( sizungumzii muuzaji)

Hivyo moja kwa moja atakuwa anajua ni dawa gani za kuweka na wapi pa kuzipata na atauza wapi, ni sawa na mfamasia akitaka kifungua duka la dawa, hawezi kuja hapa kuuliza eti aanze na dawa gani.

Na maduka mengi ya tiba asili unayoyaona nyuma yake kunakuwa na watabibu wa tiba hizo ambao ndio wanakuwa wamiliki wa hayo maduka.
 
Sio kweli .biashara ya dawa unaweza kufanya hata kama haujui inatibu nini sababu zina majina. Mteja akija atakwambia jina la dawa anajua anaenda kuifanyia nini. Na wauza dawa za kisuna ukimuuliza kuhusu dawa za mitishamba zinatibu nini hakujibu. Anaona unamjaribu
Anhaa sawa.
 
Kaka jaribu kumtafuta mtu anaejihusisha hy biashara huenda ukapata nafuu ya unachojiuliza.
 
Sasa watu unaowauliza sio waganga na hawana ujuzi wa mitishamba watazijuaje hizo dawa.
Maana kwenye dawa za hospitali majina yake ni yaleyale yaani kila nchi kuna dawa ya Panadol na formula haibadiliki.
Lakini kwenye upande wa mitishamba hakuna kanuni maalumu kila mmoja ana miujiza yake tofauti ya kutumia miti/mimea kuwatibu watu.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Wapo wanaojua Mkuu, Ukiwa wewe hujui wengine wanajua wanaojua ndo nimewauliza, Dawa za kisunna zinajulikana kwa mfano habbat sawdaa ni ile ile Kila sehemu,Mdalasini,Misk n.k
 
Ungetaja eneo Ulipo labda ingekuwa rahisi kupata Muongozo,eneo Ulipo Kuna sehemu lazima liwepo Duka la dawa hizo,ungejaribu kufunga safari mpaka eneo husika....ujaribu kuongea na muuzaji/mwenye Duka akupe ushauri sahihi.

Kuna jamaa huku Mwanza anaduka kubwa Sana la dawa za kisunna foleni haikatiki na wauzaji Ni wengi.....ndipo nilipogundua hizi dawa Zina faida maana nilikuwa sijaona dawa za kisunna zinauzwa kwa ukubwa huo....yaani Ni Kama pharmacy zile za jumla watu wanavyopishana.....Tena mtu kakodi fremu mjini Kati tena frem yenyewe ni kubwa sio kitoto....Naamini faida ipo tena kubwA kwenye hii biashara.
 
Sawa Ahsante sana Mkuu, Niko Mbeya nitajaribu kuufanyia kazi ushauri wako
 
Mkuu kwa location nzuri ya maduka kama hayo kama hujapata ni uswahilini YANI kule maisha duni..
Pia anzisha karibu na msikiti
 
Back
Top Bottom