Mbava
Member
- May 18, 2011
- 30
- 1
Wanajamii forum hamjambo wote! Safi. Kuna hii iliyoanzishwa vodacom dstv mobile ambayo inakuweza kuzama channel zipazo 5 kwa njia ya streaming video kwa sasa, hasa kwa wale wenye simu yenye uwezo wa 3G pamoja na real player. Sasa nilijaribu kutafuta huduma hii kwenye simu yangu ilikataa. Hata hivyo nilijaribu kuwauliza voda hewani walinipa maelezo namna ya kupata nayo ilishandika, kwani simu yangu NOKIA E65 Original . Kama kuna mtu tayari anatumia huduma hii anisaidie tafadhali.