zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,832
- 8,623
Watanzania sasa tumeendelea kidogo, tumetoka KUDEEP mpaka KUBEEP.
Kwa maoni yangu, Dr. Slaa wakati anaombwa kuchukua form ya urais, nadhani alikuwa anajua kuwa hata pata urais, wala hakupima muitikio wa watanzania.
Nionavyo mimi CHADEMA walimtumia Dr. Slaa kugombea ili kuongeza viti vya wabunge kutokana na uadilifu wake ili kuuza wagombea wa udiwani na ubunge majimboni, pia huenda lengo na madhumuni ni kukikuza chama.
Kutokana na hali ya kisiasa kwa sasa na mwenendo wa kampeni ulivyo, na kutokana na CCM kuzidi kuweweseka, ni dhahiri kabisa kuwa mabadiliko makubwa yatatokea.
Dr. Slaa binafsi huenda haamini kinachotokea, CHADEMA pia wanashangaa.
Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, KAMA ALIWABEEP WATANZANIA, BASI WAMEAMUA KUMPIGIA, HAWABAHATISHI, AZIDISHE KAMPENI, NA AJIANDAE KUINGIA IKULU.
Nawakumbusha CCM na maneno ya Lula wa Ndali-Mwananzela kuwa Mbinu ya vyombo vya dola kutumia nguvu kuzima mabadiliko zimeshaonyeshwa mara kadhaa kushindwa. Zimeshindwa Zimbambwe, zimeshindwa Ukraine, zimeshindwa Kenya, zitaendelea kushindwa kwani kila zama zina mashujaa wake na kila shujaa ana ujumbe wake.