Dkt. Willibrod Slaa Hastahili Kuendelea Kuitwa Balozi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu watanzania,

Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi,hastahili kuendelea kupewa heshima hiyo,hastahili kuendelea kutambulikana kwa jina hilo,hastahili kuendelea kushikilia na kuitwa kwa jina hilo.amepoteza sifa kwa kuwa kwa sasa amekuwa Balozi wa machafuko,vurugu ,ubaguzi na mapinduzi haramu.

Sasa yupo mstari wa mbele kutaka kuipindua serikali yetu iliyopo kihalali madarakani,yupo kazini na kibaruani kuchochea na wakati wote amekuwa akichochea,kuhamasisha , kushawishi na kupandikiza mbegu ya chuki kwa watanzania ili waichukie serikali yao na waipindue na kuiondosha madarakani.

Tangia Dr Slaa Asitaafishwe ubalozi amekuwa na chuki kubwa sana kwa mh Rais wetu mama samia,ameonyesha waziwazi namna alivyo na chuki, hasira na kumchukia sana Rais samia,Amekuwa ni mtu ambaye moyo wake unatamani angekuwa na uwezo au nafasi basi angeweza kumuondoa madarakani hata leo hii kwa njia ya mapinduzi. Kibaya zaidi ni kuwa chuki zake zimekuwa hazina msingi wala mashiko zaidi tu ya kuwa na fikira za kibaguzi na chuki binafsi.

Kutokana na chuki hiyo binafsi iliyojaa katika kifua chake dhidi ya Rais wetu imepelekea muda wote kuwa mwenye maneno ya uchochezi ,chuki na hatarishi kwa usalama wa Taifa letu. Ni kwa mantiki hiyo sioni sababu ya kuendelea kutambulikana na kupewa heshima ya ubalozi,ni kwa maana hiyo Dr Slaa hatakiwi kuwa katika orodha ya mabalozi wastaafu na kupewa heshima ya kibalozi.Hastahili kwa sababu yupo katika vita ya kulipasua Taifa letu,vita ya kutaka kuipindua serikali yetu,vita ya kutaka kuleta machafuko nchini,vita ya kutaka serikali yetu iondolewe madarakani kwa njia haramu.

Kwa sasa ni Adui wa usalama wetu wa Taifa,ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa,Ni kirusi kwa umoja wa kitaifa ,Ni sumu kwa ustawi wa Taifa letu. Anataka kuliangamiza Taifa letu,Anataka kuwasha moto nchini,anataka kuliteketeza Taifa letu.Najiuliza kwanini Dr Slaa Tangia awali alionyesha kuwa na chuki na mh Rais? Nini Tatizo? Nani yupo nyuma yake? Anatumiwa na akina nani? Nani wafadhili wake? Nani wanampa nguvu? Kwanini iwe sasa? Kwanini amfanyie haya Rais samia? Kwanini awaze hata kuipindua serikali? Kwanini kwanini kwanini sasa? Nini shida ambayo sisi mamilioni ya watanzania hatuioni isipokuwa yeye tu Dr Slaa.?

Hatupo tayari na kamwe na katu hatutamuunga mkono Dr Slaa,tunamfahamu sana Dr Slaa,huwa ni mtu mwenye chuki sana unapokuwa utawala unaongozwa na watu fulani,ni mbaguzi sana Dkt Slaa na mtu mwenye chuki kubwa sana.Ndio maana watanzania baada ya kurejea historia yake wameamua kumpuuza na kutomuunga mkono na kumuacha aendelee kutapatapa.Ni aibu kwa mtu wa umri wake kushindwa kutumia busara ,hekima na ustaarabu katika kauli ,matendo na matamko yake mbele ya camera au jamii au majukwaani. Ni aibu kubwa na mfano mbaya sana katika jamii.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Hivi kuna wana JF ambao huwa wanasoma magazeti yako kweli!!??

Jitahidi usiwe baba kama baba yako.
 
Huo ubalozi alipewa na CCM kama zawadi ya kuwakimbia Chadema,leo Kawa mbaya?
 
Slaa ametoa maoni yake, sio kila mwenye maoni pinzani ni adui.. tunahitaji kujua demokrasia...
Uhuru wa kutoa maoni sio uadui..
 
Dr. Willibrod Peter Slaa anashtakiwa kuvunja kifungu 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code, CAP. 16, R.E. 2022), kosa la UHAINI ambalo HALINA DHAMANA & adhabu yake ni KIFO.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi,hastahili kuendelea kupewa heshima hiyo,hastahili kuendelea kutambulikana kwa jina hilo,hastahili kuendelea kushikilia na kuitwa kwa jina hilo.amepoteza sifa kwa kuwa kwa sasa amekuwa Balozi wa machafuko,vurugu ,ubaguzi na mapinduzi haramu.

Sasa yupo mstari wa mbele kutaka kuipindua serikali yetu iliyopo kihalali madarakani,yupo kazini na kibaruani kuchochea na wakati wote amekuwa akichochea,kuhamasisha , kushawishi na kupandikiza mbegu ya chuki kwa watanzania ili waichukie serikali yao na waipindue na kuiondosha madarakani.

Tangia Dr Slaa Asitaafishwe ubalozi amekuwa na chuki kubwa sana kwa mh Rais wetu mama samia,ameonyesha waziwazi namna alivyo na chuki, hasira na kumchukia sana Rais samia,Amekuwa ni mtu ambaye moyo wake unatamani angekuwa na uwezo au nafasi basi angeweza kumuondoa madarakani hata leo hii kwa njia ya mapinduzi. Kibaya zaidi ni kuwa chuki zake zimekuwa hazina msingi wala mashiko zaidi tu ya kuwa na fikira za kibaguzi na chuki binafsi.

Kutokana na chuki hiyo binafsi iliyojaa katika kifua chake dhidi ya Rais wetu imepelekea muda wote kuwa mwenye maneno ya uchochezi ,chuki na hatarishi kwa usalama wa Taifa letu. Ni kwa mantiki hiyo sioni sababu ya kuendelea kutambulikana na kupewa heshima ya ubalozi,ni kwa maana hiyo Dr Slaa hatakiwi kuwa katika orodha ya mabalozi wastaafu na kupewa heshima ya kibalozi.Hastahili kwa sababu yupo katika vita ya kulipasua Taifa letu,vita ya kutaka kuipindua serikali yetu,vita ya kutaka kuleta machafuko nchini,vita ya kutaka serikali yetu iondolewe madarakani kwa njia haramu.

Kwa sasa ni Adui wa usalama wetu wa Taifa,ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa,Ni kirusi kwa umoja wa kitaifa ,Ni sumu kwa ustawi wa Taifa letu. Anataka kuliangamiza Taifa letu,Anataka kuwasha moto nchini,anataka kuliteketeza Taifa letu.Najiuliza kwanini Dr Slaa Tangia awali alionyesha kuwa na chuki na mh Rais? Nini Tatizo? Nani yupo nyuma yake? Anatumiwa na akina nani? Nani wafadhili wake? Nani wanampa nguvu? Kwanini iwe sasa? Kwanini amfanyie haya Rais samia? Kwanini awaze hata kuipindua serikali? Kwanini kwanini kwanini sasa? Nini shida ambayo sisi mamilioni ya watanzania hatuioni isipokuwa yeye tu Dr Slaa.?

Hatupo tayari na kamwe na katu hatutamuunga mkono Dr Slaa,tunamfahamu sana Dr Slaa,huwa ni mtu mwenye chuki sana unapokuwa utawala unaongozwa na watu fulani,ni mbaguzi sana Dkt Slaa na mtu mwenye chuki kubwa sana.Ndio maana watanzania baada ya kurejea historia yake wameamua kumpuuza na kutomuunga mkono na kumuacha aendelee kutapatapa.Ni aibu kwa mtu wa umri wake kushindwa kutumia busara ,hekima na ustaarabu katika kauli ,matendo na matamko yake mbele ya camera au jamii au majukwaani. Ni aibu kubwa na mfano mbaya sana katika jamii.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Dk. Slaa ndio balozi pekee wa kweli tulie naye, wengine wote ni wanafiki wakubwa!
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi...
safi sana kijana kweli wewe ni mzalendo taoifa hili siyo la kuchezea hovyo aende akatafute sehemu za kuchezea siyo amani yetu mhuni mmoja tu huyo
 
Back
Top Bottom