Elections 2010 Dr. Slaa umebeep, watanzania sasa wamepiga!

Pigia CCM peke yako ni haki yako. Heshimu haki ya wengine tunaokueleza wazi kuwa tutampigia slaa. Wizi wa CCM umedhibitiwa na utadhibiwa
.


mkuu hao mavuvuzela hawajui hatima yao Dr.Slaa akiingia ikulu coz wanategemea fadhila za kupewa ukuu wa wilaya na usimamizi wa miradi ya kifisadi.
 
watanzania sasa tumeendelea kidogo, tumetoka ku’deep mpaka ku’beep.

Kwa maoni yangu, dr. Slaa wakati anaombwa kuchukua form ya urais, nadhani alikuwa anajua kuwa hata pata urais, wala hakupima muitikio wa watanzania.

Nionavyo mimi chadema walimtumia dr. Slaa kugombea ili kuongeza viti vya wabunge kutokana na uadilifu wake ili kuuza wagombea wa udiwani na ubunge majimboni, pia huenda lengo na madhumuni ni kukikuza chama.

Kutokana na hali ya kisiasa kwa sasa na mwenendo wa kampeni ulivyo, na kutokana na ccm kuzidi kuweweseka, ni dhahiri kabisa kuwa mabadiliko makubwa yatatokea.

Dr. Slaa binafsi huenda haamini kinachotokea, chadema pia wanashangaa.

Ushauri wangu kwa dr. Slaa, kama aliwa’beep watanzania, basi wameamua kumpigia, hawabahatishi, azidishe kampeni, na ajiandae kuingia ikulu.

Nawakumbusha ccm na maneno ya lula wa ndali-mwananzela kuwa “mbinu ya vyombo vya dola kutumia nguvu kuzima mabadiliko zimeshaonyeshwa mara kadhaa kushindwa. Zimeshindwa zimbambwe, zimeshindwa ukraine, zimeshindwa kenya, zitaendelea kushindwa kwani kila zama zina mashujaa wake na kila shujaa ana ujumbe wake”.
mkuuu umekuwa hivyo duuuuu usisahau kupiga kura basi na ntakukumbusha hiyo j2! Mwambie na bongeeeeeeee!
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni...Mtashangaa siku ya mwisho kwani ilikuwaje enzi zile za Mrema...wafuasi niwengi sana lakiniwapigakura ni wachache....CCM for 2010 read my words hakuna cha DR slaa wala cousin wake Dr Slaa.....Lets Go CCM Na tulenge JUU Thats out Motto@.

xoxo BM

Binti Maringo unakosea unapofananisha mwaka 1995 na mwaka huu kuna utofauti kubwa sana. tofauti mojawapo mwaka 1995 watu wengi hawakujiandikisha lakini mwaka huu asilimia kubwa ya watu wamejiandikisha kupiga kura na hii inatokana na serikali kusema kuwa kitambulisho cha kupigia ndio kitatumika kupata kitambulisho cha uraia.
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni...Mtashangaa siku ya mwisho kwani ilikuwaje enzi zile za Mrema...wafuasi niwengi sana lakiniwapigakura ni wachache....CCM for 2010 read my words hakuna cha DR slaa wala cousin wake Dr Slaa.....Lets Go CCM Na tulenge JUU Thats out Motto@.

xoxo BM
Somo kama linaelekea kueleweka!!!!!!!
 
uzuri wa upinzani wa bongo ni mabingwa wa kulalamika na kushindwa yaani baada ya oct 31 ccm itapokuwa imetoa kipondo, dr. Slaa atakuwa kama mrema, bingwa wa kushindwa. Kisiasa a\takuwa kaisha, hata sasa si unaona kila siku yeye na wenzake wanaongoza kwa kampeni za malalamiko na udini.

yaani una-isifu ccm kama vile una maisha bora???? Naona kweli umeridhika na hali yako ya umaskini uliyo nayo - au mwenzetu wewe una maisha bora??? Je watanzania wenzako kule vijijini? Je watoto wa shule wanaokaa chini madarasani? Je wale wagonjwa waliolala chini mahospitalini? Je wale walimu na madakitari wanaolipwa hela kiduchu? Je wale wafanyakazi wanaokatwa kodi kuuuubwaaaa kupita kiasi??? Je rushwa iliyotawala inapelekea watu kufungwa bila hatia kwa kubambikiziwa kesi???? Umenishangaza sana - ama kweli unaweza kuwa na macho lakini huoni..... Mungu akufungue macho yako uone sawa sawa na kura yako ........................mpe dr. Slaa kwani ndie chaguo la watanzania walio wengi!!!!
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni...Mtashangaa siku ya mwisho kwani ilikuwaje enzi zile za Mrema...wafuasi niwengi sana lakiniwapigakura ni wachache....CCM for 2010 read my words hakuna cha DR slaa wala cousin wake Dr Slaa.....Lets Go CCM Na tulenge JUU Thats out Motto@.

xoxo BM

Nimeipenda hiyo bold, ndio maana huwezi kuwa na mtazamo wa kimaendeleo kwa sababu upo zaidi kwenye enzi zilizopita wakati vizazi vinabadilika. Na tangu wakati wa Mrema Tanzania na watanzania wamebadilika sana.
 
Uzuri wa upinzani wa bongo ni mabingwa wa kulalamika na kushindwa yaani baada ya oct 31 ccm itapokuwa imetoa kipondo, dr. Slaa atakuwa kama mrema, bingwa wa kushindwa. Kisiasa a\takuwa kaisha, hata sasa si unaona kila siku yeye na wenzake wanaongoza kwa kampeni za malalamiko na udini.

Kweli wewe ni Pwagu, Pwaguzi yuko wapi siku hizi?
 
mkuuu umekuwa hivyo duuuuu usisahau kupiga kura basi na ntakukumbusha hiyo j2! Mwambie na bongeeeeeeee!

mie wakala jimbo la ubungo mkuu, bado tunahitaji mawakala waaminifu zaidi, vp nitoe jina lako?
 
Back
Top Bottom