Elections 2010 Dr Slaa on Agape Television Network (ATN)

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
Dr slaa yuko live sasa agape television,
ameanza kuelezea historia na maisha yake na kuhusu elimu yake
 
SWALI: anaulizwa uzoefu aliopata kutokana kuzunguka tz YOTE
JIBU: Alichokiona ni watz wa vijijini wanaishi kwa umasikin mkubwa sana, kama dodoma, singida shinyanga ambayo ni tajiri sana
 
La pili aliloliona ni huitaji wa mabadiliko waTZ, anahuliza kama nchi ni tajiri kwanin bado wananchi ni masikini
 
Safi sana kila chombo cha habari kitumike kuwafikia wachaguaji na waamuzi ambao ni mbaga ya Watanzania waliochoshwa na ufisadi wa CCM wakiongozwa na Kikwete, Salma, Ridhiwani na Makamba.
 
Swali: CHADEMA ina sera gani ambazo zinaweza kulikomboa taifa hili la tz
JIBU:Kipaumbele cha kwanza ni makazi, ambapo mijin kuna kupisha kulala, watoto wanaanza alafu wazazi wanafatia,
 
Duh huyu mzee yuko fit ingekua Kikwete saiv angekua hoi.amepiga mikutano 8.na sasa yuko hapa live japo sauti inakwaruza kidogo lakini anaongea uzuri sana.

Rais ni Slaa hababaishi.
 
Anazungumzia kipato kidogo cha walimu na wafanyakazi wote , ili waweze kujenga na anarudia kuhusu kufuta kodi kwenye vifaa vya ujenzi na pia kutoa ruzuku ili wananchi waweze kujenga nyumba bora,
Anaelezea ukiondoa tatizo la nyumba litasadia kufuta baadhi ya maradhi
 
Thanks hapa nilipo full shangwe, namuona anapiga nondo, hata wasipomkubali the man is intelligent! simu leo ni moja kwa moja toka kwa wasikilizaji live bila chenga! Thank you
 
Kipaumbele cha pili cha CHADEMA ni UCHUMI ambapo tz bado ni masikini ipo kumi bora ya umasiki
Uchumi hauwezi kukua kam hakuna watu waliosoma, uchumi wa tz umeshikiliwa na wa2 wachache, na sulihisho la hili ni kuwekeza ktk elimu. ambacho ni kipaumbele cha pili cha chadema
 
Watu wengine bwana
Eti anahuliza chadema itawezaje kuweka serikali imara kam hadi sasa wameshindwa kutaja wagombea wa viti vya ubunge cha wanawake

huyu jama sijui ametumwa na ccm, coz hii tayari imeshatolewa ufafanu

SWALI: Kuna tetesi chama tawala hutumia weekness za upinzani, kwa kuwahonga mawakala ambao si wahaminifu

JIBU: uchaguzi wa 2010 , ni tofauti na chaguzi za huko nyuma, swala la mawakala ni nyeti, na hivyo mawakala hudhibitiwa na wenyeji wa hilo eneo, na mazingira yamebadilika tofauti na chaguzi za nyuma.
 
Anazungumzia swala la viti maalum, nimependa sana majibu yake si ya kubuni, ni muelewa
 
Back
Top Bottom