Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,294
- 9,723
Ndugu zangu Watanzania,
Ni jambo la kufikirisha sana, ni jambo la kufedhehesha na kutia aibu sana ukimfikiria Dr. Slaa na historia yake ndani ya kanisa, siasa, na serikalini. Dr. Slaa amewahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania, cheo ambacho kwa sasa kinashikiliwa na Dr. Kitima. Embu Mtanzania mwenzangu jiulize, hivi inaingia akilini kweli mtu aina ya Dkt. Slaa aliyekuwa anaitwa na vijana kuwa rais wa mioyo leo hii anaweza kuendeshwa na mtu aina ya mdude aliyekosa adabu, staha, na heshima?
Hivi kweli leo Dr. Kitima anayeshikilia nafasi aliyokuwa nayo Dr. Slaa anaweza kuongozwa na kuendeshwa na Mdude Nyagali? Anaweza kuandaa na kupanga mipango na mikakati na Mdude? Inawezekana hii kweli? Dr. Slaa ambaye amewahi kuwa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini leo ni wakuongozwa na kuendeshwa na Mdude? Mtu anayeonekana kukosa malezi ya wazazi wake na kutokuwa timamu kichwani?
Hivi Dr. Slaa nini kinamsumbua katika fikira zake na akilini kwa sasa? Nini kimemuathiri? Hivi kweli mtu alishika hadi ubalozi nafasi ya heshima kabisa, lakini leo hii anaambatana na mtu kama Mdude mropokaji, aliyezibuka akili, mkurupukaji, na aliyekosa akili ya kibinadamu? Nini kimepelekea mpaka Dr. Slaa leo hii akimbiwe na watu wote wenye akili na heshima katika jamii? Kwanini haungwi mkono hata na wale aliofanya nao kazi? Kwanini kundi lake limebaki pale pale la watu wasiofika hata kumi tena wenye taswira mbaya katika jamii na wanaodharaulika mbele ya macho ya Watanzania?
Dr. Slaa haoni aibu kweli? Haoni watu wanamshangaa? Haoni haya kweli? Kwa umri wake, Dr. Slaa anaona ni sawa kweli? Heshima yote aliyokuwa nayo imeporomoka kama barafu juani? Vijana tu hawapo tayari kuambatana wala kushirikiana na Mdude kutokana na tabia yake chafu, mbaya, na mbovu isiyokubalika katika jamii iliyostaarabika.
Dr. Slaa ajiulize, kwanini kikundi chake hakiongezeki? Kwanini vyama vya siasa haviungi mkono madai yao? Kwanini wamebakia walewale tangu awali? Kwanini hapewi nguvu na wananchi au wanachama wa vyama vingine vya upinzani? Kwanini viongozi wa upinzani hawana habari naye na hawahitaji ukaribu naye? Kwa akili ya kawaida, ni kuwa Dr. Slaa amebaki mwenyewe kwa kuwa amepoteza heshima yake katika jamii, haaminiki tena, amewakosea Watanzania wote na serikali yao na taifa lao. Ndio maana ameachwa mpweke abakie na Mdude wake asiyejitambua wala kujielewa, ndio maana hakuna aliye nyuma yake, ndio maana hapewi nguvu na Watanzania wala kuungwa mkono zaidi ya kutazamwa tu. Huwezi ukaambatana na mvuta bangi halafu utegemee wenye akili wakuunge mkono. Hakuna aliyetayari kusikiliza maneno machafu kutoka kwa mdomo mchafu wa Mdude.
Ushauri kwa Dr. Slaa ni kuwa atulie na kutuliza akili, akae na wenye hekima na busara, abakie kama wazee wenzake ambao kukiwa na jambo wanataka kutoa mawazo yao au kukosoa, unaona wakitoka hadharani kwa lugha za staha, hekima na busara ya hali ya juu sana yenye uzalendo ndani yake, mpaka jamii nzima inabaki inajadili wiki nzima hotuba husika. Kwa sasa Dr. Slaa anajidhalilisha tu na kujipoteza mwenyewe. Hayupo mwenye akili timamu wa kumuunga mkono Dr. Slaa na Mdude Nyagali wake, hayupo, hayupo, na hatakuwepo.
Dr. Slaa atizame nyuma ili aangalie ni nani mwenye hekima na kuheshimika mbele za Watanzania, yupo nyuma yake? Akiona hayupo, ajiulize kwanini watu wote wenye heshima ndani ya jamii hawapo naye.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.