Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
Ya arumeru tumeshamaliza magamba yanahaha tu wala usitie shaka..ila nafikiri atawahi wakati wa mwishoni mwishoni...kirumba pia ni kwa ajili ya kujenga chama na kuna uchaguzi wa udiwani pia pande hizo...
 
Huyo m2 kwao ni Mkama wa ccm ambaye anafvnikwa ni slaa,ameanza kumfuata fuata.magamba bwana
 
Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?

Uchaguzi wa diwani Kirumba nadiriki kusema unaweza kuwa ni wa kihistoria tangu mfumo wa vyama vingi uingie hapa nchini...CCM wanapigana kufa na kupona kunyakua kata hiyo ili japo wafufue matumaini ya kurirejesha jiji la Mwanza 2015...wakati CDM wanataka kuendelea kuikali kata hiyo ili kuudhihirishia umma wa wa Tanzania kwa walishaisambaratisha kabisa CCM jijini Mwanza...Usije kushangaa kusikia Mbowe anakuja kufunga kampeni hizi.
 
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.
Wameshaishiwa ulimi nje watachoka wenyewe, siku hizi sijihangaishi na thread za majungu nachangia na kujifunza kwenye mada zilizo na facts.
 
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.

Fikisheni chama chenu kila mahali nchini ndiyo mzungumze bhana, siyo sasa ambapo chama chenu bado kiko kwenye maeneo machache.
 
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.

magamba miti yote inateleza .....kila hoja wanazoleta ni za kinafiki badala ya kukaa waangalie kwa nini hakuna umeme wa uhakika wanahofu kubwa sana

Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?

yote mipango ya chama wanajuwa wanafanya nini kuna team kule.
Ufunguzi wa kampeni huko mimi nilikuwa nausikiliza kupitia mtandao sembuse slaa asijue nini kinaendelea msisahau kuteletea mapicha tufurahi tujiliwaze ...mfumuko wa bei ni mkubwa kuliko jk alivyo sema ni 19.8% mchele umefika sh 2,600 toka 1,800 tuta komaje jitahidi docta uje utuokoe
 
Uchaguzi wa diwani Kirumba nadiriki kusema unaweza kuwa ni wa kihistoria tangu mfumo wa vyama vingi uingie hapa nchini...CCM wanapigana kufa na kupona kunyakua kata hiyo ili japo wafufue matumaini ya kurirejesha jiji la Mwanza 2015...wakati CDM wanataka kuendelea kuikali kata hiyo ili kuudhihirishia umma wa wa Tanzania kwa walishaisambaratisha kabisa CCM jijini Mwanza...Usije kushangaa kusikia Mbowe anakuja kufunga kampeni hizi.
CCM hawawezi kushinda kata ya Kirumba hata wampeleke Kikwete alale pale.
 
Mkuu Molemo Dr Slaa hatakiwi kuwa Arumeru?mipango ikoje?
mzee arumeru watenda wote,wawakilishi wanatosha then atenda tu huko yani mwezi mzima awepo tu huko kama yeye ni kampen manager au mgombea.Hata Mbowe tu anaweza asiwepo kule
 
Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.

kuna mmoja namjua live hapa arusha...huwa ni gamba full,nadhani anapewa chochote
 
Namie nimeshawasili Kabuhoro wakuu..Aisee? Mbona wale wawakilishi wa machinga wa Mwanza na Mwenyekiti wao..waliokaa na Kikwete kwenye birthday ya CCM na wakamuhakikishia kuisaidia CCM hapa Mwanza na waona tena wako front na makamanda???!!!Hii inaashiria nini wakuu tena??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom