Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Wewe mtu kwakwao jaribu kuwa a Staha japo kidogo za kuweza kujiswafi baada ya haja kubwa.
@ don- oba hivi hawa watu ndiyo unaita wengi? Acha kutengeneza picha na mazingira ambayo hayapo...... Luck is with you kuwa hapa camera yangu haifanyi kazi.
 
Sasa ni mh Rogers katibu wa mkoa mpya wa Geita, anajitambulisha kuwa ni mfanyakazi wa Geita mining 'Geologist'. Anaelezea historia ya uhuru na vuguvugu la kuwaondoa wakoloni. Anadai serikali yetu ina viongozi wenye mioyo wa ukoloni zaidi ya tuliowandoa. Anatolea mfano wa ndege zinazoingia Geita kuchukua madini huku JK akipanda ndege kwenda kuchukua vyandarua ulaya.
 
Sasa unataka tukusaidie nini?au unataka tumchangie nauri kama arumeru mnavyo fanya,kuwa wazi tuwasaidie

PILIPILI USIYOIKALIA INAKUWASHAJE KWENYE MAKALIO?
Mbona kuna taarifa na Jk kwenda marekani watu hawajauliza anakuchangiwa nini?
HATA HIVYO ni bora kupokea tsh. 100 toka kwa masikini kuliko bilioni 2 toka kwa tajiri.
Kajipange utazamishiwa kijiti makalioni.
 
Hii tabia ya magamba kuja JF wakati wa chaguzi kwa lengo la kuchafua hali ya hewa siyo tabia nzuri. Kama wanaikubali JF basi wanimwage humu muda wote hata kama si msimu wa uchaguzi
 
Wewe mtu kwakwao jaribu kuwa a Staha japo kidogo za kuweza kujiswafi baada ya haja kubwa.
@ don- oba hivi hawa watu ndiyo unaita wengi? Acha kutengeneza picha na mazingira ambayo hayapo...... Luck is with you kuwa hapa camera yangu haifanyi kazi.

hebu muogopeni mungu jamani, inamaana huu umati wote wa watu hauoni? Nahisi haupo uwanjani, viti vimepangwa katika mafungu manne. Naamini kila fungu ni karibu watu alf moja ongeza na waliosimama. Acha siasa za maji taka. Nimepiga tayari picha, cable nimeacha room. Nitaziweka hapa uaibike.
 
Mkuu achana na huyo gamba wewe endelea kutupa updates
 
Sasa kamanda Wenje anaingia...anazungumzia rasilimali zilizopo kanda ya ziwa. Migodi na maziwa lakini wananchi wanaozunguka maeneo hayo bado wapo kwenye lindi la umasikini. Anadai concept ya majimbo ni nzuri kwani mapato yatakayotokana na mgodi wa Nyamongo, Geita, na ziwa victoria yatabaki kuwa ktk maeneo hayo na si kumpekea JK ikulu kufanya anasa! Na wakuu wa majimbo (magavana) watachaguliwa na wananchi. Anaongelea kilimo kwanza, ni sera mbovu ya CCM kuchukua the same same concept ya kilimo kwanza hata katika maeneo yaliyo na ukame km Singida. Anadai sikuhizi halmashauri iwe na hati safi inamanisha lazima wawe smart thieves. Waweke evythng their documents clear and smart! Anapiga kijembe, anamkaribisha sasa Dr wa ukweli alosomea.
 
Chadema ni tumaini jipya la watanzania..binafsi nikihudhuria mikutana ya chadema huwa najihisi kama cku zangu za kuishi zinaongezeka maana huwa napata matumaini na ujasiri..VIVA CHADEMA!
 
hebu muogopeni mungu jamani, inamaana huu umati wote wa watu hauoni? Nahisi haupo uwanjani, viti vimepangwa katika mafungu manne. Naamini kila fungu ni karibu watu alf moja ongeza na waliosimama. Acha siasa za maji taka. Nimepiga tayari picha, cable nimeacha room. Nitaziweka hapa uaibike.
Mkuu endelea achana naye huyo wala hayupo uwanjani.
 
Dr Slaa anaanza kuongea, anataadharisha kwamba hataweka siasa mbele. Anachukua kitabu kilichoandikwa na Mill 'Why africa is poor' anasema kwamba umasikini wa afrika unasababishwa na viongozi wake. Anawaasa wana chuo kama tegemeo la taifa, anadai hapa Tanzania wanachuo ni adui wa taifa. Anadai chuo kikuu ni chemichemi na fikra pevu ambapo vijana wanaweza kuibua mambo mazuri na kuleta faida kubwa katika taifa lao. Anasema hakuna nchi iliyoendelea duniani kutumia kilimo tu. Anamshangaa JK kuona kuwa nchi imeendelea kwa kipimo cha msururu wa magari barabarani....
 
Magamba wasikuvuruge mkuu wewe endelea kutupa vitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom