Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Anawataja km watani wake CCM kusherekea miaka 35 ya kuzaliwa kwake. Anadai kweli wana haki ya kusherehekea kwa kuuza rasilimali za nchi na kuvunja misingi ya azimio la Arusha. Amepekua vitabu 'Hali ya uchumi ya taifa', 'vitabu vya bank kuu', 'kilimo kwanza'. Takwimu zinatofautiana za uchumi hapa nchini. Utapangaje maendeleo pasipokuwa na takwimu?. Wewe hujui familia yako ina watoto wangapi utawezaje kuwanunulia mahitaji?. Anadai taifa limeua base ya uchumi. Anasema kilimo kwanza hakiwezi kuwa na tija kwa kuleta Power Tiller zisizoweza kulima ardhi ya tanzania. Anadai serikali ilikukurupuka bila kufanya utafiti. Anadai Tanzanite inapatikana tanzania peke yake lakini viwanda vya kuikata vipo India...
 
Chadema rocks bwana! Kwa watu wenye akili na 2liokwenda shule 2nalielewa hili,ila hv vishoko mzoba sijui vime2mwa na magamba,,m2kome!! Chadema mwili mzima!
 
...anadai JK ameisha enda nje ya nchi zaidi ya mara 325, na amejaribu kufwatilia kwamba izo safari hazijaleta manufaa yoyote. Anadai hatuhitaji kujadili symptoms bali root cause za maendeleo. Na hizo root cause mojawapo ni VISION, DETEMIRNATION ya wananchi wasiokuwa waoga. Serikali haina vision. Unaweza kuwa na capital, qulified labour bila kuwa na human and political will hautakuwa na matunda yoyote. Tunahitaji honest and intergrity leader. Anaongelea wale waliochafua kwenye mitandao kwamba alilala kwenye hotel na mke wake pamoja na mtoto wake wa miezi miwili kwa zaidi thamani ya shs laki 2. Anasema mchakato wa pesa CDM ni wa wazi....Anaendelea kusema ni Tanzania pekee ndio inaweza ruhusu NDEGE kutua kwenye makampuni yao ya madini bila kufuata system ya ulinzi kujua.
 
Anadai raisi sio project maker...lakini raisi wetu ana negotiate hata miradi ya mbu. Tanzania inahitaji new policies, new leaders na si pesa. Anashangaa Tanzania kuruhusu wawekezaji wa madini kuja kuchimba madini na kuondoka nayo yote wakiwa wanatuachia asilimia tatu '3%' tu.
 
Ratiba inaonesha hivi 5:00 kuwasili nyamalango, 5:10-5:30 ufunguzi wa kongamano na utambulisho, 5:45-6:00 uwasilishaji mada na Fred mpendazoe na prof Mlambiti. 6:30 dr Slaa, 7:00-8:00 maoni na maswali kwa Dr Slaa. Naona msafara wa magari na pipikipiki (bodaboda) unaingia viwanjani wanamsindikiza Slaa. Tayari kaishafika uwanjani.
Nilikuwa ninatamani huyu mzee prof Mlambiti kutumika kama mshauri kwa maendeleo ya nchi hii. Ninamkumbuka sana pale SUA lectures zake na vitabu vyake vya uchumi na ujasiliamali. Hongera CDM kwa kumtumia huyu mzee ni kichwa.
 
Naona ana vitabu mbalimbali vya uchumi anavisoma hapa mbele ya umati wa watu...amegusia juu ya JK kuhongwa suti tano ili agawe rasilimali za nchi na amekaa kimya bila kukanusha. Mkinipa uraisi naenda kuisafisha ikulu, yamkini sasa hivi anakisafisha chama. Na ndio maana anapata maadui wengi. Anadai CCM wanakurupuka kwamba nimeoa mke wa mtu, ebo kwani hakuna sheria? Hizo ni akili fupi. Mara slaa amemlipa mke wake mil 10 za kutengeneza system ya kompyuta. Anadai walioona hayo malipo walete risiti. Anadai mke wake ni mtaalamu wa kutengeneza mfumo wa kompyuta na alikuwa kiongozi wa ku-coordinate system katika nchi za kiafrika. Kama ikitokea akakisaidia chama hata akilipwa mil 20, CCM wanashikwa na kiherehere kipi? MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA. Amemaliza anakaribisha maswali.
 
...anadai JK ameisha enda nje ya nchi zaidi ya mara 325, na amejaribu kufwatilia kwamba izo safari hazijaleta manufaa yoyote. Anadai hatuhitaji kujadili symptoms bali root cause za maendeleo. Na hizo root cause mojawapo ni VISION, DETEMIRNATION ya wananchi wasiokuwa waoga. Serikali haina vision. Unaweza kuwa na capital, qulified labour bila kuwa na human and political will hautakuwa na matunda yoyote. Tunahitaji honest and intergrity leader. Anaongelea wale waliochafua kwenye mitandao kwamba alilala kwenye hotel na mke wake pamoja na mtoto wake wa miezi miwili kwa zaidi thamani ya shs laki 2. Anasema mchakato wa pesa CDM ni wa wazi....Anaendelea kusema ni Tanzania pekee ndio inaweza ruhusu NDEGE kutua kwenye makampuni yao ya madini bila kufuata system ya ulinzi kujua.

Naona imemgusa sana mheshimiwa...
 
Mzee mmoja anauliza kwann kipindi hiki cha JK kimekua hodari wa kuchapisha noti mpya? Maswali ni mengi nitawaletea kwa pamoja ktk majibu ya jumla.
 
Naona ana vitabu mbalimbali vya uchumi anavisoma hapa mbele ya umati wa watu...amegusia juu ya JK kuhongwa suti tano ili agawe rasilimali za nchi na amekaa kimya bila kukanusha. Mkinipa uraisi naenda kuisafisha ikulu, yamkini sasa hivi anakisafisha chama. Na ndio maana anapata maadui wengi. Anadai CCM wanakurupuka kwamba nimeoa mke wa mtu, ebo kwani hakuna sheria? Hizo ni akili fupi. Mara slaa amemlipa mke wake mil 10 za kutengeneza system ya kompyuta. Anadai walioona hayo malipo walete risiti. Anadai mke wake ni mtaalamu wa kutengeneza mfumo wa kompyuta na alikuwa kiongozi wa ku-coordinate system katika nchi za kiafrika. Kama ikitokea akakisaidia chama hata akilipwa mil 20, CCM wanashikwa na kiherehere kipi? MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA. Amemaliza anakaribisha maswali.

Kwahiyo alienda SAUT kujibu shutuma za jana usiku tu? (Red)

Naona arrogance ya hali ya juu ya mheshimiwa na mpenzi wake (Green)
 
Naona ana vitabu mbalimbali vya uchumi anavisoma hapa mbele ya umati wa watu...amegusia juu ya JK kuhongwa suti tano ili agawe rasilimali za nchi na amekaa kimya bila kukanusha. Mkinipa uraisi naenda kuisafisha ikulu, yamkini sasa hivi anakisafisha chama. Na ndio maana anapata maadui wengi. Anadai CCM wanakurupuka kwamba nimeoa mke wa mtu, ebo kwani hakuna sheria? Hizo ni akili fupi. Mara slaa amemlipa mke wake mil 10 za kutengeneza system ya kompyuta. Anadai walioona hayo malipo walete risiti. Anadai mke wake ni mtaalamu wa kutengeneza mfumo wa kompyuta na alikuwa kiongozi wa ku-coordinate system katika nchi za kiafrika. Kama ikitokea akakisaidia chama hata akilipwa mil 20, CCM wanashikwa na kiherehere kipi? MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA. Amemaliza anakaribisha maswali.

sasa mswali atamuuliza nani.? Wakati tuntemeke,paa,tii wote amewaacha huku jf.
 
Mimi sina ukuu, halafu najua ninacho kifanya.
Unajua athari ya kumfanya mtu aonekane mwongo? Au kwako ni kawaida? Kama sipo anaposema sipo maana yake anajua aliponiacha siwezi kutoka.

Jamani malumbano hapana, tusikilize Rais wetu, Dr Slaa
 
Mimi sina ukuu, halafu najua ninacho kifanya.
Unajua athari ya kumfanya mtu aonekane mwongo? Au kwako ni kawaida? Kama sipo anaposema sipo maana yake anajua aliponiacha siwezi kutoka.
...samahani kwa kukuita "mkuu"...nia yangu ili kuwa ni kujaribu kukuomba ujaribu kupunguza ukali wa maneno unayotumia ili heshima ya JF isishuke...humu JF wanapita watu wa kila aina wakubwa kwa wadogo,tukieendelea hivi itafika wakati kujitambulisha kama mwana JF itakuwa aibu,tustahimiliane,tushindane kwa hoja ili na wadogo zetu wanaopita humu wapate mazuri ya kujifunza...
 
Anaanza kujibu maswali...kuhusu kuchapishwa noti. Anasema ana kesi ya mtanzania mmoja aliyekamata mashine za kuchapisha noti bandia aliyepeleka taarifa wizara ya fedha lakini cha kushangaza yule mtu alikamatwa na mashine zake amefunguliwa mashtaka tofauti kabisa. Anadai ameongea na gavana wa bank kuhusu suala hilo. Swali lingne linahusu je cdm litachukua hatua gani juu ya mafisadi ambao serikali imeshindwa kuwafikisha kortin?. Anadai amepeleka ushahidi wa mh Chenge juu ya kuiibia serikali lakini DPP amenyamaza kimya. Anadai Cdm ikiingia madarakani 2015 itawasafisha wote. Anadai sasahivi mafisadi wanahonga polisi kuanzia RPC hadi IGP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom