Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Ahaa samahani nilisahau naongea na wanazi wa chadema UK mmefungua tawi watu walikuwa takriban 15 lakini kwenu walikuwa wengi sasa hata Kilombero watu 200 kwenu inaweza kuwa historia.

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama,

Cha Majambazi eeh? Mijitu ya Chama Cha Mabwepande itaijua tu!

Hakika wewe unaonekana una IQ ya kuku haswa! Unapozungumzia idadi ya watu waliohudhuria inategemea idadi hiyo with reference to the same incidence at that particular area. Nakushangaa unapohusisha idadi ya watu zaidi ya milioni 40 walioko Tanzania na mahudhurio ya Kilombero! Je,Ulitaka watanzania wote waende Kilombero kwenye mkutano wa CDM ndiyo ukubali kwamba mkutano huo umeweka historia????????

Acha ubishi wa kipuuzi,ujingaujinga na ushabiki wa CCM: Chama Cha Majuha,Chama Cha Mafisadi,Chama Cha Majambazi na sasa Chama Cha Mabwepande. Hizo ndizo sifa cha Chama chako! Unatakiwa ujifunze kwamba katika dunia hii mahali popote na wakti wowote mtu hata kama ni adui yako akifanya vizuri jaribu kukubali na kumpongeza pale alipokuzidi maana haikugharimu chochote.

Bila shaka umenipata mhe.Chama.
 
Ahaaa haa wewe ndiye mwenye akili finyu ikiwa kama viongozi wanajikopesha pesa za chama hapa ni siasa au saccos

Chama
Gongo la mboto DSM
wewe unapiga mikelele,umesema amekopa,sasa mkopo si unalipwa???mbona inakuuma sana/uhakika wa huo mkopo unao au wivu wa kifisadi unakusumbua????kweli unaugonjwa wa akiri wewe.
hata kama ni kweli amekopa,magamba si mnahamisha kila kitu ndio mnajishaua serikali haina pesa.
 
Hivi ni rahisi kiasi hicho kuibomoa ngome ya CCM? huko Kilombero,mbona wanamsifia mfu?mbona kabla hajafa hakuwa maarufu kiasi hicho?,picha zenyewe watu kiduchu namna hiyo mbona melezo ni ya upande mmoja ni wangapi wa CDM waliofika katika mkutano zaidi ya CCM,wekeni vitu vya ukweli si vya kupendezesha habari,mbona hamuelezi walivyozuiwa Moro town halafu hakuna aliyehangaika nao,si wangefanya mikutano kwa nguvu kama Arusha?labda ni wajulishe kuwa huko Moro kuna watu bado hawajui kama Nyerere alishakufa wala hawajui kama kuna chama kingine zaidi ya CCM,mkiweza anzieni hapo kwa hao waliolala waelewesheni waelewe ndiyo wafuasi watapatikana kinyume na hayo ni kutwanga maji kwenye kinu,hizo kadi mlizowapa wengine wanaenda kujipalilia ujiko na kama kulikuwa posho basi wamechukua kwa ajili ya mshiko vinginevyo bado kuna kazi kubwa kuivunja kambi ya CCM Morogoro.
 
Magamba bana.Hadithi za Alfu Lela Ulela...
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

No comment ................................... watu wengine bwana, nashindwa kuelewa kama wasingezaliwa ingekuwaje?
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

Naona akili yako finyu badala ya kuzungumzia Chama unamzungumzia Dr Slaa!! una gubu?. Slaa atapita lakini chama kitabaki
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

Kilichomaanishwa hapo ni Umati ulihudhuria mkutano huo kwamba haijawahi kutokea haina uhusiano na Total Population.:eek2:
 
IMG_4271.JPG

gamba hilo!
 
Jamani wanakilombero,mliohudhuria na kumwita Dr Slaa ni Rais,onyesheni hilo kwenye uchaguzi 2015.Msiuze kura zenu!
 
Hivi ni rahisi kiasi hicho kuibomoa ngome ya CCM? huko Kilombero,mbona wanamsifia mfu?mbona kabla hajafa hakuwa maarufu kiasi hicho?,picha zenyewe watu kiduchu namna hiyo mbona melezo ni ya upande mmoja ni wangapi wa CDM waliofika katika mkutano zaidi ya CCM,wekeni vitu vya ukweli si vya kupendezesha habari,mbona hamuelezi walivyozuiwa Moro town halafu hakuna aliyehangaika nao,si wangefanya mikutano kwa nguvu kama Arusha?labda ni wajulishe kuwa huko Moro kuna watu bado hawajui kama Nyerere alishakufa wala hawajui kama kuna chama kingine zaidi ya CCM,mkiweza anzieni hapo kwa hao waliolala waelewesheni waelewe ndiyo wafuasi watapatikana kinyume na hayo ni kutwanga maji kwenye kinu,hizo kadi mlizowapa wengine wanaenda kujipalilia ujiko na kama kulikuwa posho basi wamechukua kwa ajili ya mshiko vinginevyo bado kuna kazi kubwa kuivunja kambi ya CCM Morogoro.

Ushauri wako tumeupokea, ila hivi ndio tunavyoendelea kukuonesha kuwa tupo kwenye mwendokasi wa mwanga.
Hata kwenye huo mkutano kuna wengine ndo kwa mara ya kwanza wamejua kuwa ccm ilishakufa zamaniii na rais sio nyerere tena, ni dkt Wilbroad Slaa.
Usiwe na presha mkuu, watanzania wote wataelimishwa vizuri maana CDM ndo chama makini kwa kutetea maslahi ya mtanzania anayefisadiwa kila kukicha.
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi Molemo na wewe na ni mwenye akili finyu? We ndo mwenye akili finyu na kama una wakilisha wana CCM wenzio humu JF basi we sio mwakilishi mzuri, kichwa cha habari chenyewe kinajieleza sasa iweje we uzungumzie watanzania wote Nya mba vuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Na bado raia wamedhulumiwa sana na haya magamba na sasa wanaamka,mmekwisha wallah!!!
 
Safi sana ma kamanda wetu hakuna kulala na kesho kutwa Jmosi, serena hotel tutaichangia M4C kwa nguvu zote, well done, go on makamnda

mkuu pompo muda gani hiyo shuguli ya kuchangia M4C itaanza pale serena ili tijipange vyedi?
 
ALL Star..jpg air force3.JPG
M4C vua gamba vaa gwanda, CHEKI NYINYIEMU ILIVYOCHOKA JAMANI, WAKATI UMEFIKA WA KUBADILIKA KWA KUACHANA NA CHAMA KILICHOCHOKA NA DHAIFU KISICHOWEZA KUTUFIKISHA KTK SAFARI YETU YA NCHI YA ASALI NA MAZIWA. CHADEMA NI CHAMA MAKINI KINACHOENDESHWA KISAYANSI NA TEKNILOJIA
 
Mkutano wa kijijini lazima upate watu,tena wakisikia kuna mziki pia. Lakini molemo alivyo ileta hii habari,si mchezo. Leo lazima posho litaongezeka,utakua umewafurahisha kitengo cha propaganda kwa maneno yako.
 
Back
Top Bottom