Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Mimi naona wewe ndio unamatatizo ebu soma tena iyo taarifa vizuri kisha ujisahihishe mwenyewe!!!Usikurupuke kama Membe

Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
nyinyiemi ni kawaida yenu kudharau wanaowapa kura! na sitashangaa kwa maoni yako finyu hapo juu, mbona mpaka leo hii tunawakumbuka mashujaa wetu kama Seti Benjamini aliyefariki kwenye maandamano ya kuliunga mkono Azimio tukufu la Arusha? Sembuse maelfu ya walipa kodi wa KILOMBERO? Tatizo lako ww unaushabiki wa bendera fuata upepo!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimeacha historia ambayo ni vigumu kufutika katika uzinduzi wa operesheni Sangara kanda ya kati uliofanyika Ifakara-Kilombero jana.Katika mkutano huo ulikusanyika umati mkubwa kuwahi kushuhudiwa katika wilaya hiyo kwa miaka ya karibuni.

Source:Majira/Tanzania Daima/Nipashe

Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu tunahitaji magreat thinkers ambao wanajibu kitu kwa umakini na wanasoma kwa umakini. Mtoa mada hajaongea kwamba CDM imevunja rekodi ya kitaifa.

Kaa chini TAFAKARI
 
Walizuia wiki moja kabla ya jana , jana waliamini watu wataenda 88 na kufanya mkutano wachdema ukidoda bahati mbaya sana Shilogine na bosi wake wameumbuka...

Dk.Slaa.JPG

Mambo yalivyokuwa Ifakara
 
Chama unapokwenda utah...sha bila kujijua. Usijikaza sana Chama lako lenyewe limeshakufa.
 
Ahaaa haa wewe ndiye mwenye akili finyu ikiwa kama viongozi wanajikopesha pesa za chama hapa ni siasa au saccos

Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi wewe kama una uchungu na pesa za watanzania mbona huongelei pesa za EPA,Kagoda
mlizochota kwa ajili ya uchaguzi mwaka 2005 na kusababisha mifuko ya jamii kuyumba mpaka
sasa mnatuleta sheria za kifisadi za kuzuia mafao yetu?Rasilimali zetu zinavyoliwa na wachache,madini yetu yanayosafirishwa kwenye mchanga kwenda kusafishiwa nje?n.k wewe ni mzalendo kweli?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimeacha historia ambayo ni vigumu kufutika katika uzinduzi wa operesheni Sangara kanda ya kati uliofanyika Ifakara-Kilombero jana.Katika mkutano huo ulikusanyika umati mkubwa kuwahi kushuhudiwa katika wilaya hiyo kwa miaka ya karibuni.

Akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano huo jana, ikiwa ni sehemu ya Operesheni Sangara awamu ya pili, Kiongozi mkuu wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu mkuu wa CHADEMA Dk.Wilbroad Slaa aliyeambatana na viongozi wakuu wa chama hicho, akiwemo Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, alisema kuwa Serikali ya CCM imekuwa na kiburi cha kuwatisha wanaotaka kutetea maslahi ya wananchi huku ikifungia hata vyombo vya habari kama Mwanahalisi."Serikali ina nguvu ya kuvifungia vyombo vya habari kwa sheria dhalimu ya magazeti ya mwaka 1977, lakini kamwe haitaweza kuzuia kina Dr Slaa kupiga kelele'' alisema kiongozi huyo. Dk. Slaa ambaye alikuwa akishangiliwa kwa nguvu na halaiki hiyo huku anga likihanikizwa kwa kelele za RAIS....RAIS...RAIS...., aliongeza kuwa, kuanzia sasa CHADEMA itaanzisha mapambano kwa ajili ya haki ya Watanzania.

Akizungumza katika mkutano huo, Mbowe alisema umati uliokusanyika unaonesha namna wakazi wa Kilombero walivyomthamini aliyekuwa mbunge wa viti maalumu, marehemu Regia Mtema.
Mbowe aliomba jina la uwanja wa Ifakara libadilishwe na kuitwa Uwanja wa Ukombozi, na kwamba hali hiyo iwe chimbuko la ukombozi kwa Mkoa wa Morogoro.
Aliwataka wakazi wa Kilombero kuacha kulalamika na badala yake wachukue hatua kwa kuachana na CCM na kujinga na CHADEMA.

Katika mkutano huo maelfu ya wananchi walijiunga na CHADEMA wengi wao wakiwa ni kutoka CCM.Mara baada ya mkutano huo baadhi ya watu walionekana wakifuta machozi huku wakisema wanaamini bado siku chache tu CHADEMA kuingia madarakani na kukomboa watanzania kiuchumi.

Mbali na Dk. Slaa na Mbowe, viongozi wengine waliokuwa katika msafara huo ni Joshua Nassar (Arumeru Mashariki), Tundu Lissu (Singida Mashariki), Joseph Mbilinyi (Mbeya Mjini), Hamad Yusuph (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar), Suzan Kiwanga (Viti Maalumu), Joyce Mukya (Viti Maalumu) na wengine wa makao makuu.

Source:Majira/Tanzania Daima/Nipashe

mkuu hapo kwenye red,ni ushabiki,ulimbukeni,ukereketwa au dharau kwa chama????unamfahamu vizuri mtu anaeitwa Freeman Mbowe???huyo ndio mwenye hicho cheo.
 
Umati wa watu waliofurika Katika viwanja vya Kiungani Mjini Ifakara. Uwanja huo kwa sasa umepewa jina la CHADEMA Square baada ya Mkutano huo
 
Attachments

  • Nyomi.JPG
    Nyomi.JPG
    1.7 MB · Views: 383
[MENTION]Molemo [/MENTION]umesahau kusema gari lenu limepasuka tairi kutokana na carelessness na kutumia vile vitu vikali
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

mbona una panic sana? Hivi unajua kusoma?

M4C hiyooooooooooooooooooooooooo
 
mkuu hapo kwenye red,ni ushabiki,ulimbukeni,ukereketwa au dharau kwa chama????unamfahamu vizuri mtu anaeitwa Freeman Mbowe???huyo ndio mwenye hicho cheo.

Mkuu tafuta mtu mwingine wa kubishana naye lakini sio mimi.Gamba la kobe
 
Chama unapokwenda utah...sha bila kujijua. Usijikaza sana Chama lako lenyewe limeshakufa.
kwisha habari yake,chama cha majambazi kitadumu kweli,bado wanakuda wengine wajimama taiz kama chama.
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM

Wewe Chama ni Mwehu...
 
Safi sana ma kamanda wetu hakuna kulala na kesho kutwa Jmosi, serena hotel tutaichangia M4C kwa nguvu zote, well done, go on makamnda
 
Back
Top Bottom