Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa mwenye akili finyu nani? Maana katika kijiji chenye watu 2000 ukifanyika mkutano wakahudhuria takriban 1800 wakati mara zote huwa mahudhurio ni 1000 au pungufu hiyo sio historia?
Tafakari chukua hatua.. chama kisikuleweshe wewe.
2014 kila kitongoji/mtaa lazima vijana tujipange kuchukua nafasi hizo ili 2015 tunamalizia tu kuifukia ccm.
m4c daima,ukombozi juu
Hivi yule Mwenyekiti wa Chama Cha Mabwepande Mr dhaifu kaenda msibani Tabora au Ghana?