Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Mkuu Matola wapo zaidi ya Ishirini kwa hao ambao wanaoneka kwenye Picha na wamekuja kwa ridhaa yao Kama kingelikuwa kile Chama cha Mabwepande hawachelewi hata kukodi Fuso huko UK kubebea watu wakati hairuhusiwi ili kutimiza operation Jaza Ukumbi
 
Mkuu Matola wapo zaidi ya Ishirini kwa hao ambao wanaoneka kwenye Picha na wamekuja kwa ridhaa yao Kama kingelikuwa kile Chama cha Mabwepande hawachelewi hata kukodi Fuso huko UK kubebea watu wakati hairuhusiwi ili kutimiza operation Jaza Ukumbi

Hebu nijuze kuna watanzania wangapi UK? Unweza kuwa wa kwanza darasani kwa kupata maksi 30 ni wa kwanza lakini kwenye darasa la wajinga

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Vip wewe nenda kaulize hilo swali pale ubalozi wa UK

Kwa sisi tunaojua idadi ya watanzania UK ule mkutano wa umechina hasa ukitilia maanani zimetumika gharama kumsafirisha Lema kutoka Tanzania yaani watu 20 baada ya kupiga debe sana na nusu ya uliwaona walikwenda kwenye unywaji tu vibaya zaidi wengi sheria hawana kusafiri kuja bongo hawawezi sasa maana ipo wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nilikuwa namheshimu sana Chama , gongolamboto....lakini ndio hivyo tena mmeishiwa mvuto, sera bado nzuri, mvuto umeisha, kiri hilo, kubali, songa mbele safisha nyota!
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM
Sasa hapa mwenye akili finyu nani? Maana katika kijiji chenye watu 2000 ukifanyika mkutano wakahudhuria takriban 1800 wakati mara zote huwa mahudhurio ni 1000 au pungufu hiyo sio historia?

Tafakari chukua hatua.. chama kisikuleweshe wewe.
 
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
Gongo la mboto DSM
Kwa nyomi hiyo hapo kilombelo sijui kama kuna mtu alibaki nyumbani, inawezekana hata viongozi wa CCM walikuwepo...
 
Mwenzetu wewe inaelekea hujui nini maana ya mkopo iwe taasisi au nchi au mtu unapokopa dawa ni kulipa na kuna vigezo vyake endapo viongozi wa CHADEMA wamekopa wanavigezo vya kulipa wanalifahamu hilo sio kwa kupitia kwako wewe msomaji ndugu yetu Chama kama wewe ni wakala wa kampuni ya watu wanaodaiwa basi omba kibali cha kuwakamata wadeni lakini nakushauri uanzie kwa serikali yako ambayo tangu mkoloni bado inadaiwa mabilioni ya fedhaaaaaaaaaaaaa????
 
Mbona hata mbowe hakuwepo leka dutigite!

Kwa jinsa wanavyoendekeza ukanda asingeweza kwenda lekadutigite,nina uhakika angeenda angezimia maana ile nyomi ilikua si mchezo.wanakigoma endelezeni mshikamano,nchi hii ni ya kwetu sote
 
Kama hoja unaye dhaifu wa kiroho Dr. Slaa, CCM nguvu moja tu!

Chama
Gongo la mboto DSM
Hapa kweli nakuona una nguvu moja tu, nayo ni kuongea pumba ili uendelee kupewa ulaji/madaraka wakati ni dhaifu ndani ya chama dhaifu. Chama dhaifu kimeleta sera dhaifu za madini, ardhi, uwekezaji, ubinafsishaji, mafao ya wafanyakazi, uendeshaji wa bodi mbalimbali, ukusanyaji and utumiaji wa rasilimali n.k. Kote huko na kwingine ni dhaifu tu. Sasa hivi umekaa muda wote kwenye mtandao kuchungulia kila kinachochangiwa na wewe uteme cheche zako. Anyway, nisikulaumu maana yawezekana unatengeneza CV ya kuwa mchangiaji dhaifu namba moja kwenye mitandao ya kijamii. Asante sana.
 
Mbona ni kama Dr. SLAA alikuwa anawaomba msamaha wananchi hao wa Ifakara kwa kutokana na kifo cha Regia Mtema? CDM nayo inatakiwa kuwaeleza watanzania na hasa wale wa Morogoro na Tarime utata wa vifo vya Rejia Mtema na Chacha Wangwe na aache kujificha kwenye kichaka cha Ulimboka ambaye kutekwa kwake kulitokanana na ubedhuli wake wa kusababisha vifo vya wagonjwa ambao wangeweza kupona endapo wangepata Matibabu. Akawaulize wafiwa wanatamwambia aliyemteka Ulimboka.

Teh teh teh!nimepapenda hapo pa kamanda chacha wangwe,hapo umetoboza
 
Back
Top Bottom