Dr. Slaa, Mbowe na wengine wote walioshikwa na polisi waachiwa

Wametambua na kutia adabu lakini kama dola ipo na inafanya kazi , kichapo walicho kipata jana si mchezo, mpaka inzi na mbu walikufa
Kamwe dola haiwezi kuizidi nguvu ya umma na hasa pale inapoingia madarakani kwa kuchakachua na kupata kura millioni 5 wakati wananchi tuko mill 44. Hiyo sio GeniusBrain ni CrapBrain!!!!
 
Wametambua na kutia adabu lakini kama dola ipo na inafanya kazi , kichapo walicho kipata jana si mchezo, mpaka inzi na mbu walikufa
watu wengine utafikiri wanatoka bar ndo wanakuja kutoa comment zao
 
Sio huyo tu kuna wengine kama UWT na UVCCM hawana akili kabisa....hawa watu ni wapumba....aaafu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom