Dr. Slaa, Mbowe na wengine wote walioshikwa na polisi waachiwa

Donnah

Member
Oct 31, 2010
37
19
Habari zilizotufikia hivi punde viongozi wa chadema wameachiwa na wafuasi wote wa chadema waliokuwa wameshikiliwa pia. Source nimewasiliana na mbunge Grace kiwelu
 
Habari zilizotufikia hivi punde viongozi wa chadema wameachiwa na wafuasi wote wa chadema waliokuwa wameshikiliwa pia. Source nimewasiliana na mbunge Grace kiwelu

Wametambua na kutia adabu lakini kama dola ipo na inafanya kazi , kichapo walicho kipata jana si mchezo, mpaka inzi na mbu walikufa
 
Wadau ipo haja ya kujipanga na kuandaaa maandamano nchio nzima kupinga yaliyofanywa jana na selikali na jeshi la polisi,nguvu ya umma ni zaidi ya risasi au bomu la nyuklia.....
...people's.........power......
no retreat no surender......
 
Polisi na Mafisadi waliowatuma kuumiza/kujeruhi na kuua raia wasio na hatia wasiachwe hivi hivi, mkono wa sheria uwafikie wote waliohusika katika tukio hili hatari.
 
wameachiliwa kwa minajili gani? dhamana au hawana hatia? wameshtakiwa au la? taarifa kiasi fulani haijakamilika, jaribu kuicheki tena
 
[/QUOTE]
Wametambua na kutia adabu lakini kama dola ipo na inafanya kazi , kichapo walicho kipata jana si mchezo, mpaka inzi na mbu walikufa

Hujui unakiongezea aibu chama chako kwamba wanachama na viongozi wao ndio wa aina hii.. Kwamba huwezi ukafikiri hata kidogo kile unachokiandika.. Ndio maana nchi ipo hivi ilivyo.
WATU KAMA NYIE NDIE NDIO MNANIPA MUNKARI WA KUIPIGANIA NCHI YANGU, KWA SABABU MNADHIHIRISHA NCHI HII IPO KWENYE MIKONO YA AINA GANI..
 
Habari zilizotufikia hivi punde viongozi wa chadema wameachiwa na wafuasi wote wa chadema waliokuwa wameshikiliwa pia. Source nimewasiliana na mbunge Grace kiwelu

Safi sana (tunapenda kusikia hivyo) Na Mwema sasa atie akili na taalifa zake za KIINTELIJENSIA.
 
Wametambua na kutia adabu lakini kama dola ipo na inafanya kazi , kichapo walicho kipata jana si mchezo, mpaka inzi na mbu walikufa

Sipendi kukutukana kutokana na Umri wako, lakini kwa kuwa hakuna neno lingine la kuweza kukufikishia ujumbe wangu wacha ni kutukane. MPUMBAVU MKUBWA WEWE, HUNA AKILI KABISA!
 
Habari zilizotufikia hivi punde viongozi wa chadema wameachiwa na wafuasi wote wa chadema waliokuwa wameshikiliwa pia. Source nimewasiliana na mbunge Grace kiwelu
Bora,ila mi ckuelewa mabom kurushwa katikati ya soko jamani,.watu wengne hata we have been affected physically n psychologcly,i hate this so called government!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom