CHADEMA SIO CHAMA CHA
WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.
Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta
ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao
wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao
ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa
miaka 50 sasa.
- Pilau
- hadija Kopa
- John komba
- Fulana
- Khanga
- Pilau
- hadija Kopa
- John komba
- Fulana
- Khanga
- lusinde
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.
Watu wamechoka na porojo.
huyo jamaa rtz leo sijamuona kabisa kuna thread ya kamanda wetu kuchomwa mkuki shinyanga na watu wake wa lumumba na wale majambazi ya nyinyiemu hapo shinyanga, yeye na zomba, na vijana woote wa nyinyiemu wanaichungulia hiyo thread kwa mbali, na wanachanganyikiwa watu wanavyotoa madata ya kutisha juu ya hayo majambazi ya sisiemu hapo shinyanga kuwa ndio wanahusika, akiwemo mtoto wa meya na huyo jambazi muuaji wao ndio katibu mwenezi wa mkoa.... Hawa jamaa wanapenda sana mauaji... Mungu awalipe kwa kuwakata ****** woote manaopenda mauji ya nyinyiemuporojo za uamsho.
kingepoteza mvuto mngemjeruhi yule kiongozi wa cdm wa kata? Huko shinyanga?Kimepoteza mvuto!
Wapuuzi wengi hupenda kusifiwa haya kwa wadiostahili,wapuuz huchukia ukweli. Call a spade a spade and not a big spoon. Acheni ujuha, km kiongoz wetu hakuleta hamasa ktk kiwango kilichotarajiwa bac tutafte njia ya kutatua tatzo na sio kutaka kusifiwa mda wote km serikali ya sisiem
Huyo atakuwa alitukosea adabu tu! Na aka'budishwa!kingepoteza mvuto mngemjeruhi yule kiongozi wa cdm wa kata? Huko shinyanga?
Well said mkuuMkuu acha kupotoshwa na propaganda za ccm zisizo na mashiko na wala haziwezi badilisha ukweli...Siku 2 za mikutano ya SLAA pale kata ya Mwawaza-Shinyanga na siku 2 npale kata ya Bugarama -Kahama,Shinyanga zimeacha gumzo mpaka sasa...nisiseme sana but from the bottom of my heart...hizi kata zote zinakwenda cdm...bila kusahau Lwenzera-Geita ambako Slaa alipiga kambi siku 2 pia....Tukutane hapa jamvini Jumapili(28.10.2012)
Inauma, Eeh! Na bado! Mpaka utafahamu kuwa hakuna ndoto ya mchana!kinini kimepoteza mvuto........idiot,:A S angry:
Inauma, Eeh! Na bado! Mpaka utafahamu kuwa hakuna ndoto ya mchana!