Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

C.C.M - Chama Cha Mafisadi, Chama Cha Majambawazi, Chama Cha Matapeli, Chama Cha Majungu, Chama Cha Mawitches, Chama Cha Matourists, Chama Cha Machakachuaji - Purged forever, need you no more. Wasanii wakubwa nyie alaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
SIPATI PICHA wananchi waliompigia kura watakapoanza kudai kura zao zinazoendelea kuibiwa.

Pole JeiKei umejitakia mwenyewe haya
 
Watu wenye mawazo mgando utawajua humu,wanapinga yote mema ya slaa.Waraka wa kuiba kura upo wazi!!mbinu za kitoto za kuchelewesha matokeo ziko wazi!!Mnakataa nini wakati mnafosi ushindi???Dawa iko jikoni
 
C.C.M - Chama Cha Mafisadi, Chama Cha Majambawazi, Chama Cha Matapeli, Chama Cha Majungu, Chama Cha Mawitches, Chama Cha Matourists, Chama Cha Machakachuaji - Purged forever, need you no more. Wasanii wakubwa nyie alaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


umesema yote wamechakachua mpaka wanataka kuonyesha kama Jeikei ameshinda kwa kishindo kumbe wizi mtupu..na uchungu sana kwa vile nimepiga kura :A S angry:
 
c.c.m - chama cha mafisadi, chama cha majambawazi, chama cha matapeli, chama cha majungu, chama cha mawitches, chama cha matourists, chama cha machakachuaji - purged forever, need you no more. Wasanii wakubwa nyie alaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


'they were born saints but i fear if they don't repent they will defineterly die deceivers'

it is true that you can just fool people for sometime but not forever!! The death of ccm has come.
 
Kupinga matokeo sio ishu. Ishu ni je ana mpango gani? Mmevuna mlichopanda. Mmepiga kambi mijini na kura mmezipata. Kulikobaki CCM wamewapiga bao.

You don't need a PhD kuona kwamba strategy yenu haikutoa kura za kutosha. Sasa yeye anapinga matokeo kwenye TV? Au anataka kukusanya vijana wake waandamane mitaani kutuharibia amani yetu.
 
Dr Slaa amepinga matokeo yanayotangazwa na tume ya uchaguzi!!!!!!!(source ITV)

Ni jambo la msingi na CCM wanatakiwa kujua za mwizi ni arobaini. Tumechoka kudanganywa na matokeo ya kupikwa.
Ongeza Dr. Slaa. JK anataka kutuburuza kama walivyofanya zanzibar. Maalim ameshinda ila ni shinikizo matokeo yamebadilishwa ili waendelee kugawiana wachache keki hii ya watz.
 
Back
Top Bottom