Ubalozi wa Dr. Slaa na Polepole ipo siku utafutwa! Dr. nchimbi kaisha

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mtake msitake iko siku isiyo na jina ubalozi wa watu niliowataja hapo juu utafutwa tu. Dr. slaa alipewa kama zawadi ya kumfunga mdomo na kumtoa machoni mwa Watanzania, moja ya dhambi anayotakiwa kuitubu ni ile ya kuupokea ubalozi huo.

Polpole nae ni the same! Ila nataka nikwambie iko siku nae cheo cha ubalozi kitafutwa, popote pale alipo anaumwa ugonjwa wa moyo, maana yanayoendelea anatamani ayapinge lakini na ubaloZi anautaka (kimya kimya ila anaumwa).

Dr. nchimbi kuna mtu amenipenyeshea ya kuwa bado ananguvu ila nasikia anarudishwa Rumumba kupanga safu mpya. Je, bado anamvuto?

Ubalozi ni vyeo vya kuwanyima nguvu wale wanaoonekana wana nguvu!
 
Mtake msitake iko siku hisiyo na jina ubalozi wa watu nilio wataja hapo juu utafutwa Tu.
Dr slaa alipewa kama zawadi ya kumfunga mdomo na kumtoa machoni mwa watanzania,moja ya dhambi anayotakiwa kuitubu ni Ile ya kuupokea ubalozi huo.
H.polpole nae ni the same! Ila nataka nikwambie iko siku nae cheo cha ubalozi utafutwa popote pale alipo anaumwa ugonjwa wa Moyo maana yanayoendelea anatamani ayapinge lakini na ubaloZi anautaka(kimnya kimnya Ila anaumwa.)

Dr nchimbi kuna MTU amenipenyeshea yakuwa bado ananguvu Ila nasikia anaruidshwa rumumba kupanga Safu mpya.
Je bado anamvuto?

Ubalozi ni vyeo vya kuwanyima nguvu wale wanao onekana Wana nguvu.
Dr Slaa alisema haihitaji huo ubalozi wa mchongo
 
Huyo Nchimbi anajua mitishamba balaaa!
 
Teuzi za mchongo daima zina expiry date
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Kwenye riwaya ya the godfather ya mario puzo, kuna sentensi moja maarufu sana kwenye kitabu hicho aliitoa bwana don corleone the main character inasema kwamba i will make him an offer he can not refuse. Hii sentensi ipo valid sana kwenye political game ya hapa tz.
Offer yenyewe ni kusainishwa makubaliano wanayoyataka huku umewekewa bastora kichwani
 
Back
Top Bottom