Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

inamaana magaidi yameingia tanzania yakafanya ugaidi na kutoka kinyemela pasipo kukamatwa au ndo siasa za maji ya chooni??? kuhusu hili kuna kundi flani litaumbuka.

labda tanzania ni kama choo tena kile cha bar ni kuingia tu kujali nani yumo.
 
Nina swali kama hicho kipindi kiliandaliwa kwa nini Mukama hakuongea live tukamsikia? Nyinyi mmezoea kurecodi na kuchakachua ndio mnatuma hewani upupu ndio maana kaona anapoteza muda wake. Hata nyinyi mngeweza kufanya huo mdahalo na Mukama kwa sababu mnajua hali ya watanzania.
Angeongea Mukama peke yake mngeimwagia lawama zaidi TBC kwamba wanapendelea CCM kwa nini hakuchukuliwa mwakilishi wa CHADEMA. Ingekuwa ONE SIDE STORY sasa mmepewa fursa mnakacha na kuanza kutoa visngizio na matusi.
 
Mukama akitaka mazungumzo amuite Mtatiro.
Hata ningekuwa mimi nisingeenda na wala silazimiki kumpa mtu kama mukama sababu za kutokwenda.
 
Mukama akitaka mazungumzo amuite Mtatiro.
Hata ningekuwa mimi nisingeenda na wala silazimiki kumpa mtu kama mukama sababu za kutokwenda.
Aliyeandaa mjadala ni TBC si Mukama na wala Mukama hajaomba kupewa majibu na Slaa.
 
uzuri ninaouona kwa kiongozi wetu huwa sio mnafiki hivi ccm wangekuwa wameshindwa wangekubali kwenda kwenye tv ya cdm kuhojiwa? jamani hasa wanachadema tuwe makini mipango mingine ya hawa wehu ni kutumaliza hatuna haja kushobokea vi majadiano visivyo na tija .Mkama amchukue nape na hata mwigulu wapewe dakika zozote zile kwenye tv yao waeleze wananchi walivyoshinda kwa kishindo.
 
Kweli mama mkubwa
 
Dr. Slaa ana akili za kutosha kwanini apoteze muda kwenda kuongea uzushi wa watu wasioelewa, big up dr. na wewe ndiye dr. wa ukweli, achana na hao dr. feki.
 
Taarifa kamili ni kuwa sio kweli kuwa Dr.Slaa alikubali kushiriki kwenye kipindi hicho na aliwasiliana na mwandishi tangu alipompigia simu juzi kuwa angetaka washiriki kikao hicho.

Ni kuwa hakuna MAKUBALIANO na ya Dr.Slaa kushiriki kwenye mjadala wa kipindi cha leo asubuhi.

Hivyo watu msipoteze muda wenu ktk kujadili kitu ambacho sio sahihi na sio kweli.
 
yaani mkuu nimeufuatilia huu mjadala kwa umakini sana, kumbe source ni hayo makaratasi ya maandishi (wenyewe wanaita gazeti la uhuru) ah mkuu hapo inabidi unitake radhi kwa kuiteka attention yangu.

kumbe hukujua source? Pole sana. Mtoa mada naye alificha, nadhani aliogopwa kupuuzwa
 
taarifa kamili ni kuwa sio kweli kuwa dr.slaa alikubali kushiriki kwenye kipindi hicho na aliwasiliana na mwandishi tangu alipompigia simu juzi kuwa angetaka washiriki kikao hicho.

Ni kuwa hakuna makubaliano na ya dr.slaa kushiriki kwenye mjadala wa kipindi cha leo asubuhi.

Hivyo watu msipoteze muda wenu ktk kujadili kitu ambacho sio sahihi na sio kweli.

wewe unaweza kumaliza mjadala. Maswali mengi ya watu ilikuwa ni kukaribishwa kwa dk. Slaa, akakubali, imefika siku ya kuwa mtamboni, hakutokea. Hiki ndo chanzo cha malambano humu ndani. Na watu tutapenda kuthibitishiwa na mtu mwenye jina kamili ndani ya chama ili kuondoa hofu ya washika dau wa dk.slaa
 
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.
Kipanga hawezi kumkimbia kilaza.
 
Taarifa kamili ni kuwa sio kweli kuwa Dr.Slaa alikubali kushiriki kwenye kipindi hicho na aliwasiliana na mwandishi tangu alipompigia simu juzi kuwa angetaka washiriki kikao hicho.

Ni kuwa hakuna MAKUBALIANO na ya Dr.Slaa kushiriki kwenye mjadala wa kipindi cha leo asubuhi.

Hivyo watu msipoteze muda wenu ktk kujadili kitu ambacho sio sahihi na sio kweli.

nilishasema mwanzoni kabisa huu udaku ufutwe mara moja.Tangu lini uhuru likawa source ya habari?
 
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.

Kamura,
  1. Hivi wewe kwa akili yako unafikiri Dr. Slaa anaweza kumkimbia Kihiyo wa CCM Wilson Mukama kweli????
  2. Hivi unajua kwamba kati ya Makatibu wakuu bomu kabisa ambao Chama Cha Magamba wamewahi kuwa nao ni huyu Mukama pamoja na yule Mzee wa Kishambaa Yusuf wa Makamba?
Napenda nikuhakikishie wewe na Wanamagamba wenzako kwamba kihiyo Wilson Mukama has no MATCH to Dr. Slaa.

Hebu turejee nyuma kidogo kwa yale yaliyojiri kule Igunga wakti wa kampeni pale Bwana Wilson Mukama aliporopoka kuhusu eti CHADEMA KUINGIZA MAKOMANDOO 33 KUTOKA AFGHANSTAN NA LIBYA ILI KUVURUGA UCHAGUZI WA IGUNGA!!

Dr. SLAA aliposikia kauli hiyo akasema kwamba; KAMA NI KWELI CDM WAMEINGIZA MAKOMANDOO 33 IGUNGA BASI SERIKALI YA CCM HAITAKIWA KUWA MADARAKANI MAANA ITAKUWA IMESHINDWA KAZI KWA KURUHUSU HAO MAKOMANDOO 33 KUVUKA MIPAKA YA NCHI MPAKA IGUNGA BILA YA KUKAMATWA NA POLISI,JWTZ,UWT na UHAMIAJI!!

Baada ya ya tamko hili la Dr. Slaa ambalo lilikuwa limejaa kila namna ya UMAKINI WA KUFIKIRI NA KUJENGA HOJA na vilevile KUONYESHA HEKIMA NA BUSARA aliyonayo Dr.Slaa, Kihiyo Wilson Mukama hakujibu mpaka kesho! Polisi walipomdodosa Mukama kama kuna ukweli katika hili akaanza KUWEWESEKA kwasababu ilikuwa ni propaganda za kijinga,zisizo na ukweli na zilizopitwa na wakti. Propaganda ambazo lengo ilikuwa kuwatisha na kuwatia hofu wapiga kura wa Igunga.

Kwa hiyo Dr. Slaa amekaa akapima na kuona kuwa kwenda kujibizana na kihiyo Mukama kwenye studio za TBC ni kupoteza muda wa Watanzania kwa vile Mukama hana ubavu wa kujibu hoja za Dr.Slaa.
 
Back
Top Bottom