Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Tuache Ushabiki wa vyama wanaJF,Mie nampenda Dk lakini kwa hili kakosea wadau.Kama alikuwa hataki kwa sababu za Mbwembwe za TBC1 basi angewambia siji lakini kama alikiri kuwa atakuja na akapotea then its a bad sign.
Wote tunajua wanambania Lakini asifanye usera kuahidi atakuja halafu asiende bora angewakatalia tungekuwa tunajadili uhodari wake kukataa!!
 
Taarifa kamili ni kuwa sio kweli kuwa Dr.Slaa alikubali kushiriki kwenye kipindi hicho na aliwasiliana na mwandishi tangu alipompigia simu juzi kuwa angetaka washiriki kikao hicho.

Ni kuwa hakuna MAKUBALIANO na ya Dr.Slaa kushiriki kwenye mjadala wa kipindi cha leo asubuhi.

Hivyo watu msipoteze muda wenu ktk kujadili kitu ambacho sio sahihi na sio kweli.

Kumbe aliwasiliana na Mwandishi wa TBC kwa simu, halafuu..... malizia majibu. Kuna njia ngapi za kuwasiliana au kufanya mialiko, simu si mojawapo?
 
i think niliona thread ikieleza Dr ni mgojwa na amelazwa..... so tayari majibu!
 
Tuache Ushabiki wa vyama wanaJF,Mie nampenda Dk lakini kwa hili kakosea wadau.Kama alikuwa hataki kwa sababu za Mbwembwe za TBC1 basi angewambia siji lakini kama alikiri kuwa atakuja na akapotea then its a bad sign.
Wote tunajua wanambania Lakini asifanye usera kuahidi atakuja halafu asiende bora angewakatalia tungekuwa tunajadili uhodari wake kukataa!!

kama ni mtembeleaji mzuri wa Jf jana kulikuwa na thread kalazwa so i think ni kwa sababu mgonjwa na inafahamika...
 
Mi nadhani kulikuwa na kitu....! Iweje CCM wanaokimbiaga midahalo leo wakaomba wenyewe? Kwa kuwa hatumdai sana Dr. Slaa kama chama cha Mukama, basi tunaweza kuvuta subira kama atakuja na majibu sawia, au porojo....!
 
Nimeona katika gazeti moja la kila siku. dk Slaa amekacha mjadala uliipangwa kufanyika hapa kwa kushirikiana na chombo kimoja kikuu cha habari yaani TBC1 katika kipindi cha JAMBO LEO.
Katika mjadala huo ambao Mukama alipanga hoja za msingi na kutaka kumuonyesha dk slaa kwamba anayozungumza mengi hafanyi utafiti.lkn pia kuzungumzia magaidi waliongizwa na CHADEMA IGUNGA na mengine mengi juu ya CHADEMA
katika hali isiyoyakawaida katika Chama cha chadema. Dk slaa amekacha mjadala huo.
Jee Dk slaa ameanza kuogopa mijadala ya wazi?
What next?
Mbona unapanick?Labda wamegundua hiyo mijadala mnaitumia kuwa soma akili.
 
Tuache Ushabiki wa vyama wanaJF,Mie nampenda Dk lakini kwa hili kakosea wadau.Kama alikuwa hataki kwa sababu za Mbwembwe za TBC1 basi angewambia siji lakini kama alikiri kuwa atakuja na akapotea then its a bad sign.
Wote tunajua wanambania Lakini asifanye usera kuahidi atakuja halafu asiende bora angewakatalia tungekuwa tunajadili uhodari wake kukataa!!

naungana na wewe, nimelizungumza sana huko nyuma, lakini watu kwa kupenda mtu wanashindwa kutetea haki wanatetea uovu. kama ni kweil alialikwa na akakubali kuhudhuria SLAA katukosea, lakini kama alialikwa akakataa mwaliko ndo hawa UHURU wakaamua kumwashia moto huu, hakika yake wataumbuka tu mda si mrefu
 
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.

mbona Mkama ni size yangu jamani. Si angenialika mie tu. Slaa jamani anakazi nyingi jamani. Tumwache apumzike, vitu vidogo kama hivyo aje Slaa!!!???
 
Nimeona katika gazeti moja la kila siku. dk Slaa amekacha mjadala uliipangwa kufanyika hapa kwa kushirikiana na chombo kimoja kikuu cha habari yaani TBC1 katika kipindi cha JAMBO LEO.
Katika mjadala huo ambao Mukama alipanga hoja za msingi na kutaka kumuonyesha dk slaa kwamba anayozungumza mengi hafanyi utafiti.lkn pia kuzungumzia magaidi waliongizwa na CHADEMA IGUNGA na mengine mengi juu ya CHADEMA
katika hali isiyoyakawaida katika Chama cha chadema. Dk slaa amekacha mjadala huo.
Jee Dk slaa ameanza kuogopa mijadala ya wazi?
What next?

Dr. wa Ukweli hana cha kuongea na zero kama Mukama. Mukama saizi yake Makamba au JK!
 
mbona Mkama ni size yangu jamani. Si angenialika mie tu. Slaa jamani anakazi nyingi jamani. Tumwache apumzike, vitu vidogo kama hivyo aje Slaa!!!???

Improve your profile utaalikwa.
 
Mkama ni mtu mdogo sana kujadiliana jambo na Dr Slaa tena ukizingatia kwamba TV yenyewe ni ile TBCCM inayofanya kazi kwa vimemo na maelekezo ya Emmanuel Nchimbi. Tangu jembe ulaya Tido Mhando aondolewe na CCM siku hizi mambo Ujima Ujima!!!!!!!!!

Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.
 
Ninyi MAGAMBA muwe na subira mnabweka nini????yaani Dr wa ukweli utamlinganisha na mukama kwa vigezo vipi??na data zipi alizonazo??JK wenu ndio bingwa wa kukwepa midahalo hivi hata ya mwaka jana tu mmesahau???CHAMA CHENU CHA MAGAMBA kiliwakataza viongozi wake wote kutoshiriki midahalo nchi nzima TIDO AKAENDA KINYUME NA AGIZO HILO MKAMTIMUA mbona mnasahau mapema au fikra ndo zilezile masaburi???????Dr slaa kwa jinsi alivyo hakuna kiongozi yeyote aliye na magamba anaweza kumshinda kwa hoja.kama Dr aliahidi kwenda TBC na imetokea hakwenda yule aliyemwalika atakuwa ameambiwa sababu zilizomfanya asiende aidha kwa makusudi ameamua kukaa kimya ili ionekane Dr slaa amemuogopa mukama.subirini atawajibu.
 
Back
Top Bottom