Dk Slaa hawez kukutana na huyo mropokaji...yeye aendelee kukutana na Nape na Magamba wenzieNimeona katika gazeti moja la kila siku. dk Slaa amekacha mjadala uliipangwa kufanyika hapa kwa kushirikiana na chombo kimoja kikuu cha habari yaani TBC1 katika kipindi cha JAMBO LEO.
Katika mjadala huo ambao Mukama alipanga hoja za msingi na kutaka kumuonyesha dk slaa kwamba anayozungumza mengi hafanyi utafiti.lkn pia kuzungumzia magaidi waliongizwa na CHADEMA IGUNGA na mengine mengi juu ya CHADEMA
katika hali isiyoyakawaida katika Chama cha chadema. Dk slaa amekacha mjadala huo.
Jee Dk slaa ameanza kuogopa mijadala ya wazi?
What next?