Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Maana yake hapa ni full escort ya dola kamili
Umenikumbusha alisema hamjui Rostam oops! sorry namaanisha DOWANS. Juzi Lowasa kamuumbua.Na huo ndio mtaji wa Watanzania wote ndani ya CHADEMA. Hivi umeshawahi kumsikiliza JK alafu baada ya nusu saa umsikilize Dr Slaa ? Tofauti kubwa utaiona maana ni sawa na kuangalia mlima kilimanjaro na kichuguuuu ! Dr Slaa ana uwezo wa kuwaambia watu kesho wote shambani tukalime na usikute hata mtoto nyumbani lakini JK hata akisema neno lake usimwamini ! Akikuambia siwajui hawa basi ujue ni kinyume chake.....................
Lowasa fisadi mwandamizi atachaguliwa na hao viongozi wa dini anao wahonga ktk jina la harambee.2015 huku el kule slaa! Wote wanapendwa kanda ya ziwa.
Ni kweli mkuu. Hivi sasa moto unaendeleakuwashwa kila mahali. Kikubwa CDM isijisahau. Ikaze buti 2015 si mbali. Ila TUME HURU NI LAZIMA.:A S 465:
Dr. W. Slaa akihutumbia mamia ya wakazi wa mji mdogo Mbalizi Mbeya leo jioni |