Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

Maana yake hapa ni full escort ya dola kamili

slaa%2B1.JPG


DSC00457.JPG
slaa.JPG
 
Na huo ndio mtaji wa Watanzania wote ndani ya CHADEMA. Hivi umeshawahi kumsikiliza JK alafu baada ya nusu saa umsikilize Dr Slaa ? Tofauti kubwa utaiona maana ni sawa na kuangalia mlima kilimanjaro na kichuguuuu ! Dr Slaa ana uwezo wa kuwaambia watu kesho wote shambani tukalime na usikute hata mtoto nyumbani lakini JK hata akisema neno lake usimwamini ! Akikuambia siwajui hawa basi ujue ni kinyume chake.....................
Umenikumbusha alisema hamjui Rostam oops! sorry namaanisha DOWANS. Juzi Lowasa kamuumbua.
 
Dr Slaa ndio kiongozi wa pekee tuliyenae ktk sisi tulio hai nchi hii! Hakuna wa kumfananisha nae kiuzalendo wa kweli! Ndie mwanadamu mwenye ushawishi mkubwa Tanzania kuliko binadamu yeyote Mtanzania! Hutaki piga mbizi!
 
Ni kweli mkuu. Hivi sasa moto unaendeleakuwashwa kila mahali. Kikubwa CDM isijisahau. Ikaze buti 2015 si mbali. Ila TUME HURU NI LAZIMA.:A S 465:

ndiyo mzee dr wa ukwel tunakutakia maisha marefu
 
[h=3]DKT. W. SLAA ANGURUMA MBALIZI MBEYA HUKU MVUAIKIENDELEA KUNYESHA[/h]
DSC00032.JPG
Dr. W. Slaa akihutumbia mamia ya wakazi wa mji mdogo Mbalizi Mbeya leo jioni
Huku mvua ikiendelea kunyesha Dr. Slaa aliendelea kuwahutubia mamia ya wakazi wa Mbalizi

Baadhi ya mabango waliyobeba wanachama wa chadema Mbalizi wakimkaribisha Dr. Slaa kiwanjani hapo







Mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Mbalizi wakimsikiliza Dr. Slaa huku mvua ikiendelea kuwanyeshea


Picha kwa hisani ya Mbeya yetu Blog:lol:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom