Ktika ziara yake hapo kesho atahutubia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya shule ya Msingi nzovywe. Kwa hakiaka kesho nzovwe hapatosha.:lol:
kweli kabisa CCM is like a dying horse it kicks very hard, so CDM lazima kuchukua kila tahadhari juu ya huyu farasi anayekufa maana teke lake la mwisho linaweza kuwa baya sanaHuu ni wakati wa kujikita zaidi na kuweka mizizi zaidi kwenye ngome, kwani adui (CCM) japo ni mgonjwa lakini bado haishiwi mbinu...
Angalia alichofanya Fisadi ngeleja Kanda ya ziwa!
Tunakutakia kila heri Dr.
Jamani hivi Slaa ni nani? muhubiri injili, mwanaharakati au mwanasiasa. naomba msaada
Dr. Slaa- Rais anayeongoza nchi kutoka kwenye mioyo ya watu.
dhubutuni kukanyaga Tanga muoneSina shaka mkoa wa mbeya unatakuwa kama mikoa ya mwanza na arusha yaani upcoming cities are resenting to opposition parties kwa kuonyesha mfano wa kuleta upinzani wa kweli siyo kila siku ccm.
dhubutuni kukanyaga Tanga muone
Jamani hivi Slaa ni nani? muhubiri injili, mwanaharakati au mwanasiasa. naomba msaada
Mkuu Ndyali, vipi mbona hutuapdate?
Samahani Makamanda, Ngereja aliondoka na megawati zake. Hatahivyo, haya ndiyo yaliojili kwenye mkutano katika viwanja vya shule ya Msingi Nzovywe:
1. Mahudhurio ilikuwa ni mafuriko ya wanaMbeya kama kawaida yao ingawa mkutano ulifanyika nje kidogo ya mji
2. Dr. Slaa aliwaeleza wananchi kusudio la Magamba kuizuia CHADEMA kuwaelimisha wananchi juu ya mchakato wa katiba Mpya kupitia sheria mchakato wa katiba mpya. Na akasema polisi wawe tayari kumpigalisasi kwa kosa la kuwaelimisha wananchi juu yakatiba mpya, ndipo umati wa wanaMbeya wakamjibu kuwa kama watampiga risasi akiwa Mbeya, Mbeya yote itachimbika.
2. Dr. Slaa amemjibu Lowasa kuhusu kauri yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, amesema Lowasa hana usafi wala Uhalali wa kunyoshe kidole CHADAMA.
3. Kuhusu JK Kusingizia uchumi wa dunia kwa matatizo ya TZ amesema ni kwa sababu amaishia fikra na uwezo wa ubunifu
Samahani simu yangu ya mchina haikuseve picha nilizopiga, ninaamini kuna makamanda wengine waliokuwepo wanaweza kutuwekea picha humu.