Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

Ndio Raisi wangu huyu ninaemtambua kwa kweli na zaidi nampenda sana Dr.Slaa,Mungu aendelee kukulinda Mh Raisi wangu ili uendee kupeperusha bendera ya CDM 2015,ni mtizamo wangu tu huu wakuu
ogopa wana SIASA wa TZ usiwaamini maana wanataka umaarufu tu nakuiba pindi wakipata madaraka, Ni Nyerere na Sokoine tu Hakuna tena kama hao
 
Jamani acheni kutumia CDM kama kifupi kwani CHADEMA tayari ni kifupisho cha Chama Cha Deokrasia na Maendeleo
 
Jamani hivi Slaa ni nani? muhubiri injili, mwanaharakati au mwanasiasa. naomba msaada
 
Nakumbuka Nyerere aliwahi toa Speech...uchaguzi wa 1995...Vyama vibovu lakini VIPOOO...Japo vibovu Lakini VIPOOO...Sasa angekuwepo leo angeupdate speech yake? Chadema jamani wanatukosha mioyo yetu...Together we can
 
wadau angalieni jinsi Dr Slaa alivyolakiwa akiwa anaingia eneo la uyole akielekea mjini mbeya majira ya saa 12 jioni leo 10.01.2012. Picha sio nzuri ni ya simu

Mkuu mbona hiyo Clip ina mi virus Kibao? isha vuruga Laptop yangu hapa
 
Magamba na vibaraka wao wanaweza sema kuna tishio la Alsha........... tokea Zambia ivyo hakuna mkutano
 
Dr. waelimishe ndugu zangu wachache waliobaki wakiikumbatia CCM humo mkoani kwangu.
 
Back
Top Bottom