Well you know what to speak and how, then why kishabiki?......... I hope you can do better than that.From the science point of view, no one has ever survived after contacting Pollonium.
I guess that you believe in the same God I believe(the LORD God of Abraham,Isack and Jacob,the living and the almighty one),so how could you dare to 'doubt' the LORD's ability over pollonium 236!? you are telling us how dreadful effects of radioactive work but forgetting how great is our God(the God who created the heaven,the Earth,pollonium 236 and all things),God is powerful over all things),amen
Safi,tunamtakia kila la kheri arudi nyumbani kuendelea na majukumu yake ikiwa ni pamoja na kutueleza ni yapi aliyoya sitiri ili kuilinda serikali.Kama ana amini Mungu amemponya,basi he should do his will!Pichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
Nimependa sana sura za hawa wauguzi zilivyokua na matumaini.
Uwezi kukuta sura za hivi pale Mwananyamala Hospitali au Temeke Hospitali..
Pamoja na kutimiza miaka 50 ya uhuru lakini watu wamechoka
Wherever he is,Dr Mwakyembe ni MTU WA WATUPichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
nimependa sana sura za hawa wauguzi zilivyokua na matumaini.
Uwezi kukuta sura za hivi pale mwananyamala hospitali au temeke hospitali..
Pamoja na kutimiza miaka 50 ya uhuru lakini watu wamechoka